Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

As if you really cared…….πŸ˜…πŸ˜…
 
Hii ni gari za kubebea askari. Hazina tofauti na Toyota Hilux.
 
There's a shipment in September but not these.
 
Remember our trains carry double the number of passengers your trains carry in one trip. So who makes more money?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
Tuondolee USENGE HAPA wewe.
Lete hizo takwimu za Treni zenu kubeba abiria mara mbili kuliko sisi.
Sisi safari moja tu ya ufunguzi kwenda Dodoma wamebebwa abiria 900.
Na kurudi abiria walikua wengi zaidi.
Lete hizo takwimu,daily tunaingia mitandaoni tunaona treni zenu zikiwa tupu kwenda na kurudi.
 
There's a shipment in September but not these.
The US is taking no chances on this mission.. lots at stake including own integrity….Kenya is getting top notch support especially on equipment… we have to succeed at all cost..
 
Huyo anayesema treni ya Kenya inabeba abiria kwa wingi.
Abiria wanaonekana kupungua na mapato kupungua pia kiasi shirika kuendeshwa kwa kodi za wananchi badala ya mapato ya reli.
HATA NARROW GAUGE YE TZ HAIENDESHWI KWA KODI ZA RAIA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜­πŸ˜­πŸ†πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Na bado hambebi wengi kutushinda??!!πŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈ
Kenyan trains = 120*16 passengers
Tanzanian trains =900 or 564 passengers 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…