Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wako Hustle Mbaya kutafuta unga...hakuna kuomba omba naipenda bidii ya my Brothers. Picha nzuri sana.
 
zile kipindupindu za Zanzibar ziliisha....courtesy of ITV Tanzania.....huko huwa nasoma uchi wenu ambao hamtaki kuonyesha hapa
Sio kwenye five star hotels, hiyo kwenu imevunja rekodi, kingetokea Kibera wala nisingeshangaa, lakini next to state house, hiyo kali mazee, by the way njoo uone Dar ilivyo safi, utaipenda bure
 
Watu wako Hustle Mbaya kutafuta unga...hakuna kuomba omba naipenda bidii ya my Brothers. Picha nzuri sana.
Colomz yuko wapi ajekuona akina mama mboga wa cbd amekuwa akituponda sana smh!
 

zile kipindupindu za Zanzibar ziliisha....courtesy of ITV Tanzania.....huko huwa nasoma uchi wenu ambao hamtaki kuonyesha hapa
asante kwa povu...good morning.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ni aibu kubwa sana kwa watu wa nchi ya "middle income" ku-hustle katika mazingira machafu na hatarishi kwa afya zao.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ongeza picha zingine please.
 
.yani Zanzibar wana hata wimbo yah taifa..soka team rais wao currency Alafu wanasema niyao na vile she in amejitaidi

zile kipindupindu za Zanzibar ziliisha....courtesy of ITV Tanzania.....huko huwa nasoma uchi wenu ambao hamtaki kuonyesha hapa
.
Nashangaa sana wakati tunaongelea hoteli za kitalii, tuliambiwa kuwa Zanzibar haiko Tanzania, sasa imekuwaje leo iwe sehemu ya Jamhuri ya muungano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…