Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama serikali yenu ndio imeshindwa, what makes you think Diamond ataweza?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
Hawa watu huchukulia Diamond kama baba yao. Na unapata linalosema ni lidume lizee kumliko Diamond. 🀣 🀣 🀣
 
Kama serikali yenu ndio imeshindwa, what makes you think Diamond ataweza?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
Ila wewe ni mpumbavu sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwamba serikali itengeze the longest sgr network in the whole of Africa ishindwe kuweka seats kadhaa ndani ya behewa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna mambo mawili huenda wewe ni moja kati ya hayo, ima wewe ni chizi au punguani. Choose one
 
Siyo matumizi ya kawaida na inabeba abiria wengi kuliko hiyo ya bongolala? 🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ our train has only 1 month in operation and it carries 4k passengers daily from Dar to Morogoro 200km journey. Hii inakwambia nini ukiwa una akili timamu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawa watu huchukulia Diamond kama baba yao. Na unapata linalosema ni lidume lizee kumliko Diamond. 🀣 🀣 🀣
Sina hii we Mtu mzima mpumbavu πŸ‘‡πŸΎπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
How does he choose between a rock and a hard place? 🀣🀣🀣🀣🀣
Huyo ni mental case mazingira ya kibera yamemuathiri sana.
 
Siyo matumizi ya kawaida na inabeba abiria wengi kuliko hiyo ya bongolala? 🀣

lkn ya kwetu ndiyo inaanza kazi kwanza hata nafikiri bado tuko kwenye majaribio wakati treni ya Kenya ina miaka > 5 na full operational …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…