Yes yes
Air conditioning system iko wapi? Video screens ziko wapi?
Utasikia wakisema architect ni mkenya π€£π€£π€£π€£Heheheeee hata mkenya wa kibera kama Teargas huwezi kumdanganya, haya environment hii hapa, wakenya hapa hamtoki, tutairudia rudia hii picha mpaka mtiiπ π π€£ π€£ View attachment 3053762
Hata MGR yetu ile deluxe ni better kuliko hii π€£π€£π€£Sasa nani akuchukie, kwamba ni uongo tumewazidi, kwamba ni uongo tuna electrified SGR, kwamba ni uongo tuna station nzuri kuliko the rest of Africa, kwamba ni uongo tumewazidi kimaendeleo, wacha kujipa umuhimu ambao huna, kula chuma iyo πππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£View attachment 3053768View attachment 3053769
Meanwhile πππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£View attachment 3053771
Pamoja na mapungufu ila kwenye hili sgr mama anaitendea haki idea ya magufuliUjenzi unaoendelea huko Mwanza. Hii hapa ni design ya Malampaka πππ
View attachment 3053853
Hamna abiria wa kutosha π€£π€£π€£Cool, calm and neat. Despite kubeba abiria wengi hakuna chaos kama kwa jirani πView attachment 3053952View attachment 3053953
We carry double of Mchongoko without chaos.Hamna abiria wa kutosha π€£π€£π€£
Explore ushuziExplore Dodoma