Mambo ya magari nje ya station umeachana nayo after nimekuonyesha how unplanned your SGR is?🤣🤣🤣😂😂Abiria hatakiwi kutembea umbali mrefu au kutumia njia nyingi za usafiri kufika final destination yake.
Sisi Tanzania tumedesign all new infrastructures to be close to each as best as we could.
ngoja nikupe Elimu wewe na Wakenya wenzako how we designed our infrastructures.
Nje ya kituo cha Dar SGR kuna, station ya magari ya mwendo kasi ambayo inaweza kumfikisha mtu sehemu yoyote ya Dar bila kubadili usafiri, mara atafute Nduthi, sijui matatu au nini.
Nje ya Airport ya Dar es Salaam kuna Station ya Mwendokasi inayofika Pugu nje ya Station ya SGR hadi Dodoma au Mwanza, eventually Congo, Rwanda, Burundi, same Station ya Mwendokasi inamfikisha mtu anyplace ya Dar hadi Stand ya Mabasi ya Magufuli.
Kama una exposure ya Nje ya Kenya umefika miji ya Ulaya, mfano London ndio Miundombinu inavoundwa...
Njooni mjifunze Tanzania acheni kununua vitu ambazo wont add any value
Our SGR ni Europe standardMambo ya magari nje ya station umeachana nayo after nimekuonyesha how unplanned your SGR is?🤣🤣🤣😂😂
Hop, Step and Jump😂😂🤣🤣Hivi Ndio watu wanapanda treni
Europe hakuna mambo ya Hop, Step and Jump. Kule hakuna kupark magari kiholela mbele ya stesheni na kupigwa na jua ukishuka kwa train😂😂🤣Our SGR ni Europe standard
Unaumia ukiwa wapi mathare ama mukuru kwa njenga?Europe hakuna mambo ya Hop, Step and Jump. Kule hakuna kupark magari kiholela mbele ya stesheni na kupigwa na jua ukishuka kwa train😂😂🤣
Unadhani hatujafika huko auEurope hakuna mambo ya Hop, Step and Jump. Kule hakuna kupark magari kiholela mbele ya stesheni na kupigwa na jua ukishuka kwa train😂😂🤣
Hii umejitia kidole😂😂😂😂😂Hivi Ndio mlivyomaskini nyie mbwa? Watu wanapanda na mikate ya bofulo 😂😂Mnafurahishwa na vitu za kawaida sana. Dinning coach ni buffet, sio juice na mandazi zenye mnapewa uko🤣🤣😂.
Kenyan SGR economy Class
View attachment 3053186
Hop, step and jump😂😂🤣Unadhani hatujafika huko au
Nilikuwa sijaona hiiMnafurahishwa na vitu za kawaida sana. Dinning coach ni buffet, sio juice na mandazi zenye mnapewa uko🤣🤣😂.
Kenyan SGR economy Class
View attachment 3053186
huu ni mkokoteni sasa disguised as a bar cart!Mnafurahishwa na vitu za kawaida sana. Dinning coach ni buffet, sio juice na mandazi zenye mnapewa uko🤣🤣😂.
Kenyan SGR economy Class
View attachment 3053186
Mama yuko kazini kaacha mchuchumio kavaa viatu vya kazi mtu akizingua anapigwa buti nje 😁Kipanya ana maanisha nini
View attachment 3052892
Wataweka tracks huko wewe huoni kuna platform na space ya tracks on the other side?Stations za Tanzanian SGR can’t accommodate two trains at a go Kama za Kenya.
Kenya
View attachment 3052963
Uchawiland only have single tracks😂😂🤣👇👇
View attachment 3052967
Hiyo inaitwa Triple jump kwa Track and Field..😂😂Hop, step and jump😂😂🤣
Deep fake!.. and am sure you know itView attachment 3053088
Mtambo wa chang'aa
Walio design na kujenga Sgr ya Tz ni waturuki na upande wa Kenya ni wachinaHapo kuna kosa la kipumbavu kwa mainjinia wetu tz very nonsense
Sisi tunapigana na trained military units wenye war equipment lakini nyie mnapigana na gangsters tuu wa mitaani hakuna sifa yoyote hapo Haiti.
Nyang'au wa humu JF hawataki kuamini kuwa tumewapiga dafrao, ha ha ha😎Abiria hatakiwi kutembea umbali mrefu au kutumia njia nyingi za usafiri kufika final destination yake.
Sisi Tanzania tumedesign all new infrastructures to be close to each as best as we could.
ngoja nikupe Elimu wewe na Wakenya wenzako how we designed our infrastructures.
Nje ya kituo cha Dar SGR kuna, station ya magari ya mwendo kasi ambayo inaweza kumfikisha mtu sehemu yoyote ya Dar bila kubadili usafiri, mara atafute Nduthi, sijui matatu au nini.
Nje ya Airport ya Dar es Salaam kuna Station ya Mwendokasi inayofika Pugu nje ya Station ya SGR hadi Dodoma au Mwanza, eventually Congo, Rwanda, Burundi, same Station ya Mwendokasi inamfikisha mtu anyplace ya Dar hadi Stand ya Mabasi ya Magufuli.
Kama una exposure ya Nje ya Kenya umefika miji ya Ulaya, mfano London ndio Miundombinu inavoundwa...
Njooni mjifunze Tanzania acheni kununua vitu ambazo wont add any value
Behewa zenu ni fupi!According to Mzee Methuselah aka Geza Ulole uloe ati hii train ni over 1km and that’s why Tanzania can’t afford a canopy that can cover the entire train😂😂🤣👇👇
View attachment 3052998
Vs
Kenya with a canopy that covers 16 coaches.
View attachment 3052999