Kuna mpumbavu hapo alisema eti treni za tz hazina window shades! Mnabishana na wendawazimu ambao hawajawahi kutoka Kibera.Haya funga haraka sana π π π π
View: https://x.com/scentor/status/1767306778130141274?t=zj2twdRvEwDPMRUxGtWVDQ&s=19
Huezikuwa maskini na ukose akili at the same time. Try to reason.Hapo Mvua inampataje Mtu heb tueleze,πππ ulizani hizo ni leaking roof like that of JKIA?
Just know that ukipatakana in this behewa ya wahindi ni kibokoπππ€£π€£ππWe ni fala huna akili.
Hao wapo kibao TZ unaweza sema waarabu ama wahindi kumbe ni Warangi ama wanyaturu.
πππππ
Kwa ushamba wako hata huyu utasema ni Asia.
View attachment 3050279
Hawa wahindi!?Just know that ukipatakana in this behewa ya wahindi ni kibokoπππ€£π€£ππ
View attachment 3050281
Kenya passengers hawanyeshewi ππππ€£π€£ππcanopy roof ni product ya Ukunya! hapa vipi hawanyeshewi?
View attachment 3050278
Thatβs a different coach idiot. Rangi ya viti isikuchanganye ππ.
Nishakuonesha huyo wa tatu kutoka mwisho sio Muhindi.Then how come this coach is purely preserved for Indians?πππ€£ππ
View attachment 3050306
So umekubali Tanzanian SGR is running on empty seats?π€£π€£π€£Nishakuonesha huyo wa tatu kutoka mwisho sio Muhindi.
Pia kuna viti empty na kuna siti za nyuma hazijapigwa picha.
Yani umeleta picha ya behewa limekatwa ukisambaza propaganda zako za kishenzi!?
Jinga kabisa.
πππππππππππππ.So umekubali Tanzanian SGR is running on empty seats?π€£π€£π€£
Unajaribu kujionesha una akili ila una mawazo mafupi sana. Kuna taasisi na social groups huwa wanakodi behewa zima. Ndio hao unaona. Ijumaa Dodoma trip kuna taasisi sitaitaja jina wamechukua karibu nusu ya treni kwa ajili ya watu wao. Na watu wao hawana uhakika wa kujaza hayo mabehewa ila wamelipia yote. So uttaona some half full coaches uje hapa upige kelele treni zinaenda tupu.Then how come this coach is purely preserved for Indians?πππ€£ππ
View attachment 3050306
Again huna akili kuliko hivyo vitoto vinavyopita hapo. Hio ni culvert ya kupitisha maji. Hao watoto na watu wazima wenye akili fupi kama wewe wanaona uvivu kwenda 800m na 1000m either way kwenye designated crossing. Get a life boy.
Kwani treni yenu ni daladala?π€£π€£π€£.πππππππππππππ.
Mpini ushaingia.
We una una uhakika gani kama lilianza safari na kumaliza likiwa empty!?
Je haikubeba na kushusha vituo vidogo!?
ππππππππππ.
Nasubiri kilio kingine.
So in short thatβs a coach preserved for Indians ?πππ€£π€£Unajaribu kujionesha una akili ila una mawazo mafupi sana. Kuna taasisi na social groups huwa wanakodi behewa zima. Ndio hao unaona. Ijumaa Dodoma trip kuna taasisi sitaitaja jina wamechukua karibu nusu ya treni kwa ajili ya watu wao. Na watu wao hawana uhakika wa kujaza hayo mabehewa ila wamelipia yote. So uttaona some half full coaches uje hapa upige kelele treni zinaenda tupu.
Kwani treni yenu ni daladala?π€£π€£π€£.
Anyway enjoy the ride with empty seatsπππππ
View attachment 3050312
We are transporting averagely 8M passengers every year.Broke Nation: 2,457 Empty SGR Seats in 5 Days as Economy Bites
Investigations by Kenyans.co.ke revealed that there were times that the train was only booked at half capacity.www.kenyans.co.ke
Huna akili wewe. Hata US or UK au Chinese embassy wanaweza kukodi behewa lao. Hata Wakenya wanaweza kukodi behew zima. Akili yako imejaa ubaguzi ndio maana unafikiri unavyofikiri.So in short thatβs a coach preserved for Indians ?πππ€£π€£
Thanks for accepting and being honest πππππ