Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

All Tanzanian trains can’t go beyond 180km/h. That’s the factπŸ˜‚πŸ˜‚
Poleee toto poleeee.
EMU zetu ni 200.
Na sasa route ikishazoeleka tunakimbia na speed hadi ya 185kmph kupelekwa Dodoma.
 
Mufike 170kph alafu time bado iwe 3.5hrs πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwenzako kasema treni yenu ni faster than ours, she is claiming treni yenu ni 200km/hr πŸ˜‚πŸ˜‚ haya nakugeuzia swali , treni inayokimbia speed hiyo then itumie 6 hours kufika mombasa!? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mufike 170kph alafu time bado iwe 3.5hrs πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Morogoro to Dar es Salaam tunatembea kwa 170.
Au unabisha tupige mahesabu!?
Piga mahesabu kilometa 300 unatembea kwa 90 minutes huku ukisimama vituo vinne katikati.
 
Mwenzako kasema treni yenu ni faster than ours, she is claiming treni yenu ni 200km/hr πŸ˜‚πŸ˜‚ haya nakugeuzia swali , treni inayokimbia speed hiyo then itumie 6 hours kufika mombasa!? πŸ˜‚πŸ˜‚
speed hizo zilishuhudiwa wakati wa trials, so our trains are faster.
 
Nionyeshe siku mmefika Mombasa chini ya saa 7 na hili dubwana πŸš‚πŸš‚πŸš‚πŸ˜…πŸ˜…
Dubwana liko very intimidating spewing fire and soot while snorting like the dragon.
People have moved on to customer friendly trains nowadays.
Dereva wa hii train hawezi vaa suti maana kuna issues za diesel na soot lazima avae nguo za ufundi kama walati wa treni za steam kutupia makaa ya mawe kwenye kinu cha engine 🀣🀣🀣🀣
 
Poleee toto poleeee.
EMU zetu ni 200.
Na sasa route ikishazoeleka tunakimbia na speed hadi ya 185kmph kupelekwa Dodoma.
Unalia ukiwa wapi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Your EMU can’t even reach 180km/hπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
 
speed hizo zilishuhudiwa wakati wa trials, so our trains are faster.
Trials gani!?.ilhali speed kubwa mloenda wakati wa trials ni 140kmph.
MkajitaaapaaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe wahuni tukawa twawachora tu AISEEπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata hivi ya kwanza mlisema hivyo hivyo..hiyo 165 ni operating speed sio maximum speed.
πŸ€­πŸ€­πŸ†πŸ˜‚πŸ˜‚Bado hamjasema.
Operating speed is 160km/h. Maximum Speed is 165km/hπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…