Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Wale abiria wakati wa uzinduzi wasikutie ujasiri, mbwembwe zikitulia njoo tulinganishe.ππππππHuna hoja wewe.
4.5hrsTuambia kumbe hii treni inatumia masaa mangapi kufika mombasa? πππ usihangaike na hizo picha.. leta ratiba ya hii treni.
Una wazimu wewe hizo 4 coaches ndio zitupandishe hasira? π€£π€£π€£π€£Hasira imekupanda kweli kweli after kuona new Kenyan coachesπ€£π€£π€£
Maximum speed yenye hamuifikii? πππ kila kitu on paper nyie wapumbavu. Tueleze hiyo treni inachukua masaa mangapi kifika mombasa vile? ππKusafiri sio shida. Hapa tunaongelea maximum speed.ππ
Sgr yao na trains zao ni kama yale malori ya kichina hapo mwanzo yalikuwa yanavunja madereva migongo π€£π€£π€£Mlitakiwa muwe na hizo coaches all classes sababu masaa 7 πππnaislum to mombasa sitting upright lazima spinal cord ihame πππ
Ukipata schudule yoyote ya safari hapo kwenu inayosema huu upuuzi wako leta hapa nitoke JF saa hii πππ. Tunapigizana kelele kumbe ground ni hakuna kitu.4.5hrs
Akii we jamaa ni matakoππππππππ.Kusafiri sio shida. Hapa tunaongelea maximum speed.ππ
Mimi nina first hand experience sio mambo ya kusoma.Ukipata schudule yoyote ya safari hapo kwenu inayosema huu upuuzi wako leta hapa nitoke JF saa hii πππ. Tunapigizana kelele kumbe ground ni hakuna kitu.
Coaches ni 20 for the first batch. Second batch bado.Una wazimu wewe hizo 4 coaches ndio zitupandishe hasira? π€£π€£π€£π€£
Kwenye interior design mchina bado sana kwakweli π€£π€£π€£π€£Mbuzi analamikaππππ€£π€£.
New economy Class Coach. Hapa hakuna kuangaliana kama kondooπ€£π€£
View attachment 3049008
Mchina bado au kawapa wanachostahili!?Kwenye interior design mchina bado sana kwakweli π€£π€£π€£π€£
Kweli mzee π¬π¬π¬Kwenye interior design mchina bado sana kwakweli π€£π€£π€£π€£
Tena sio 80km/h?πππ.Akii we jamaa ni matakoππππππππ.
Nishakujua shida yako kubishana.
Reli yenu ni joint welded inawezaje kuruhusu kasi!?
Diesel train huwa inachelea kwenye Change of K.E energy unawezaje kufananisha na ya umeme!?
Binti maxi speed ni 140kmph.
Msifosi mengine.
Poleni sana. Nawahurumia sana namna Mama Mgina anavyowatesa #RUTOMUSTGO ππππCoaches ni 20 for the first batch. Second batch bado.
This time round mtalia damu πππ
Siku mkitembea kwa speed tunayotembea huwenda tukaongea lugha moja.Coaches ni 20 for the first batch. Second batch bado.
This time round mtalia damu πππ
Lugha gani tunaongea yet Kenyan trains are faster than those refurbished trains in Tz.Siku mkitembea kwa speed tunayotembea huwenda tukaongea lugha moja.
Wivu utakuua mngese wwBullet train yenye inashindwa speed na trains za diesel?π€£π€£π€£
Hizo za first class ziko 4 tuu kati ya coaches mpya mlizo order.Coaches ni 20 for the first batch. Second batch bado.
This time round mtalia damu πππ
πππ nakunya hapa hadi kwetu Tanga.Mimi nina first hand experience sio mambo ya kusoma.