Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Unajua hesabu za proportion?We kima hesabu hamjui kabisa unajua maana ya round off ama umeropoka tuu? Unajua sheria ya round off to the nearest number ikoje?
Kama uliitaka kufanya round off hiyo ilitakiwa kuwa 3 hours na sio 4 hours 😁
You're arguing with someone who doesn't understand rounding up and you're introducing velocity to the equation. You're going to have a had time.Unajua hesabu za proportion?
Msa-Nbo distance is 40km more than Dar-Dom
Tukiassume treni yenu inakimbia 160km/h ambayo ni uongo inakimbia kwa 140.
Time = 15min
Total 3:35+00:15= 3:50hrs
Hapa umeandika nini we mpumbavu? 😂😂😂Unajua hesabu za proportion?
Msa-Nbo distance is 40km more than Dar-Dom
Tukiassume treni yenu inakimbia 160km/h ambayo ni uongo inakimbia kwa 140.
Time = 15min
Total 3:35+00:15= 3:50hrs
Wew mpumbavu imeandikwa wazi kwenye ile draft ya ratiba ya safari kwamba Treni itatumia 3:25 hours kwasababu itakua inasimama kwenye vituo, usichoelewa wewe ni nini? Au unakaza fuvu ? 😂😂😂Tena katika hesabu zangu hapo juu nimeamua kuwabeba kwa sababu hakuna vile treni yenye inakimbia 160km/h average speed inaweza kuchukua 3:30hr kutoka Dar to Dom. Hapo speed ni 140km/h kushuka
Nani kakwambia ni 40km more than.Unajua hesabu za proportion?
Msa-Nbo distance is 40km more than Dar-Dom
Tukiassume treni yenu inakimbia 160km/h ambayo ni uongo inakimbia kwa 140.
Time = 15min
Total 3:35+00:15= 3:50hrs
Jidanganye,Bangladesh toka mwaka jana wanaandamana wana tulia wanaandamana wanatulia.We are fixing this planet.
Na alivyo fala anakwambia inakimbia speed ya 140kmph😂😂😂😂😂.Wew mpumbavu imeandikwa wazi kwenye ile draft ya ratiba ya safari kwamba Treni itatumia 3:25 hours kwasababu itakua inasimama kwenye vituo, usichoelewa wewe ni nini? Au unakaza fuvu ? 😂😂😂
Ajabu ni kwamba ile draft ya ratiba ya safari kaipost yeye mwenyewe 😂😂😂Na alivyo fala anakwambia inakimbia speed ya 140kmph😂😂😂😂😂.
Huyu jamaa ni mgonjwa.
Na hiyo ya masaa matatu na dakika 25 ni ya kawaida.
Express itakua masaa matatu kamili au chini ya masaa matatu,kwasababu itakua ikisimama Vituo viwili vikubwa tu,Dar mpaka Moro mpaka Dodoma.
Mgonjwa huyo ameanza kudata😂😂😂Ajabu ni kwamba ile draft ya ratiba ya safari kaipost yeye mwenyewe 😂😂😂
Wew mpumbavu imeandikwa wazi kwenye ile draft ya ratiba ya safari kwamba Treni itatumia 3:25 hours kwasababu itakua inasimama kwenye vituo, usichoelewa wewe ni nini? Au unakaza fuvu ? 😂😂😂
Kwahiyo bro masaa matatu na dakika 25 ni sawa na masaa manne kwa makadirio!?Ebu tuonyeshe hivo vituo manake naona kituo kimoja tu kwa ratiba ambacho ni morogoro tena baada ya dakika 5 treni inaondoka.
Haya piga hesabu zako kati ya saa 3 na dakika 25, ukitoa dakika 5 za treni kukaa pale kituoni inakua zinatumika masaa 3:20, sasa swali ni je wew haya masaa manne uliyapata wapi we kima? 😂😂😂 heb tueleze.Ebu tuonyeshe hivo vituo manake naona kituo kimoja tu kwa ratiba ambacho ni morogoro tena baada ya dakika 5 treni inaondoka.
Weka education yenu hapa kwenye hili swali la round off na mimi niweke education yetu hapa tuone which education system is better.Sina huo muda. Geza Ulole njoo uokote hii mbwa yako. Tukiwaambia education system yenu ni ovyo mnadhani tunawaonea.
Try again.Unajua hesabu za proportion?
Msa-Nbo distance is 40km more than Dar-Dom
Tukiassume treni yenu inakimbia 160km/h ambayo ni uongo inakimbia kwa 140.
Time = 15min
Total 3:35+00:15= 3:50hrs
Kaka ungeuliza swali rahisi sana,masaa matatu na dakika 25 ni sawa na masaa manne kimakadirio!?Try again.
We are talking about travelling time between Dar -Dom sasa hayo mahesabu yako feki yanatoka wapi hapa?
Hiyo assumption yako ya 140kph umeiotoa wapi we know operational speed iliyokuwa documented ni 160kph. Scientific arguments haziendi kwa kubuni vitu kichwani mwako.Unajua hesabu za proportion?
Msa-Nbo distance is 40km more than Dar-Dom
Tukiassume treni yenu inakimbia 160km/h ambayo ni uongo inakimbia kwa 140.
Time = 15min
Total 3:35+00:15= 3:50hrs
Angalia jinsi unavyodhihirisha kuwa elimu yenu ni mbovu mwenzako anazungumzia speed wewe unafikiri anazungumzia velocity ama hujui kuwa speed na velocity ni vitu viwili tofauti?You're arguing with someone who doesn't understand rounding up and you're introducing velocity to the equation. You're going to have a had time.