Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tofauti na Dar, Mwanza na Arusha I’m 100% sure other areas in Tanzania hata hawajui what malls are. Hata hawajaiskia the word β€œmall”.
Nawapea Mabongolala humu challenge. Nionyesheni malls kwa hii miji.
1. Tanga
2. Mbeya
3. Morogoro
 
Kumbe karudi bana. Hii mada haiongelei tena
Hiyo na
Hii hawezi ongelea.
 
I mentioned Matic. Didn’t I?
Matic usifananishe na huyo matako wako wa kikenya.
Onesha team kubwa tofauti na Tottenham alocheza Wanyama!?
Matic kacheza Chelsea,kacheza man united.
Unafananishaje na huyo kibwengo wako!?
 
Kumbe ni maoni ya mtu mmoja!?
Ni sawa na Alex Ferguson alivyodhani Ronaldo ni bora kuliko Messi kumbe sio ukweli.
Tulete takwimu hapa za magoli na makombe baina ya Wanyama na Matic!?
Kuna mtanzania anajulikana hivo Europe vile Wanyama na Origi wanajulikana?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…