Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The 1.4 km Likoni bridge construction to begin April 2018.
 
Niletee oficial link inayosema nai gbp is 40 alaf niletee link inayosema dar is 9, na usipoleta basi wewe unagoviπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
It took you ages to reply huh? Ina maana umeshinda Google ukitafuta hizo data na sasa umerudi na ushujaa baada ya kukosa such information.

You guys have a certain inferiority complex and it won't be solved through competition with your bigger brother. Kunywa kopo la maji ukitafakari hayo.
 
Likoni hio ni ndoto ndugu plan yake ilikuwepo 10 yrs back lakini mpaka leo hakuna ishara yoyote ya ujenzi mutaendelea kusaga menoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Surender bridge dar 7.1 km january ujenz unaanza
Na site preparation tayari
Hata za Bagamoyo zilikuwa tayari...Anything ya huko Danganyika Mimi huamini nikiona na macho otherwise hizo zingine ni tuta tuta .
 
Kama huna sema sina usizungushe madaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Unafkiri 40 ni kama kula ugali
 
Hata za Bagamoyo zilikuwa tayari...Anything ya huko Danganyika Mimi huamini nikiona na macho otherwise hizo zingine ni tuta tuta .
Likoni itabaki a dream πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sio plan ya jana wala ya juzi na haina dalili yoyote, labda mtuoneshe renders
 
Sindano imekuingia hadi kwa mfupa ndugu utapona tu.
Hakuna project kenya inashtua ndugu, na kuna zingine zishakufaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ konza na tatu zilishajifia zamani, montave na pinnacle bado ziko kwenye karatasi,πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…