ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,513
- 89,952
Kwani awamu ya 5 na nyie mlikuwa mnakopa? πππππππππ.Hela ya kujenga nyumba nzuri nitafute mim (baba mwenye nyumba), afu dogo (mama) akikamilisha mjengo ndo kaupiga mwingi
Tuendelee kuimba MAMA YUKO KAZINI,
MAMA KAUPIGA MWINGI
Usiingie kwenye vita vya bunduki ukiwa na magogo tu
Na bashe anasubiri nini ofisini kwenye sakata la sukari πππππItashangaza sana mtu kama Nape kuendelea kuwa waziri kwenye hii serikali ya anaupiga mwingi kama wapo serious.
Wasipomla kichwa huyu mtu, ndio nitaendelea kuamin mama hana maamuzi
Kwani Bashe alifanya nini Cha ajabu? Mpina ataendelea kulalamika hivyo hivyo Hadi anaacha ubunge.Na bashe anasubiri nini ofisini kwenye sakata la sukari πππππ
Hujui alifanya nn au unajitia wazimu?πππKwani Bashe alifanya nini Cha ajabu? Mpina ataendelea kulalamika hivyo hivyo Hadi anaacha ubunge.
Hakuna kibaya alichofanya ,nijuze basi.Hujui alifanya nn au unajitia wazimu?πππ
Huwez kujua ww wakat ni abduli chawa WA mama πππππHakuna kibaya alichofanya ,nijuze basi.
Umeshaishiwa hoja sasa unaleta vioja ππHuwez kujua ww wakat ni abduli chawa WA mama πππππ
Unpopular opinion Wabunge wengi wataacha ubunge Mpina akiwa MbungeKwani Bashe alifanya nini Cha ajabu? Mpina ataendelea kulalamika hivyo hivyo Hadi anaacha ubunge.
Kama hujui Acha sio lazma ujue πππUmeshaishiwa hoja sasa unaleta vioja ππ
Utani ameongea at his capacity kama Waziri hapo! Hapo no serikali inaongea!Wanasema alikua anatania πππ
Huyu ndio waziri anaetegemewa na jamhuri ya muungano WA Tanzania
Haya wacha inyeshe tujue panapovuja
View: https://x.com/athanas_pius/status/1813230005440197033?t=Cej0S3MWkAhDgk39fdhcDw&s=19
Anakwambia ni utani Tu na ni waziri ππ
View: https://x.com/HabariLeo/status/1813485328373551550?t=e2TwEAn2pANFp25T0Dd67Q&s=19
Pombe ni msema ukweli πππUtani ameongea at his capacity kama Waziri hapo!
Alishasema goli la mkono!Pombe ni msema ukweli πππ
Huna hoja wewe hater wa sa π―Kama hujui Acha sio lazma ujue πππ
Aibu naona mm SASA ππππAlishasema goli la mkono!
Sawa abduli wengine tumenunua sukari 10000 kilo moja πππππHuna hoja wewe hater wa sa π―
Kumbe mumenunua? Nikajua mumeshindwa kununua.Sawa abduli wengine tumenunua sukari 10000 kilo moja πππππ