Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe hujaona Gen Z wana faint mahakamani kisa njaa mpaka hakimu anawanunulia maziwa 🀣🀣🀣🀣
Ukiwa umeshiba huwezi andamana yaani unaanzaje kuandamana wakati baada ya kula mtu unatakiwa upumzike chakula kishuke πŸ€”πŸ€—πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ but kundustan muda wote wananjaa wacha waandamane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…