The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
We huoni Congo msitu ipo juu ya Tanzania, we huogopi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hii list ni fake, Kundustan hawezi kuwa kuu ya Tanzania 👇👇
View: https://twitter.com/afristats_polls/status/1809113982948532295?t=7w0W0fLTBmemXV14GgZXEg&s=19
Bora hata Congo unawaza kubali Kwa sababu ya Ukubwa wa Nchi.We huoni Congo msitu ipo juu ya Tanzania, we huogopi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
SGR yetu ni gumzo uko ukunyan,kwenye comment za hii video nimeona maumivu ya kunyan ni makali mnoWakenya Wana kila sababu ya kuuana ili Ruto atoke mana alishirikiana na Uhunye kuiba pesa nyingi sana kwa kisingizio cha reli standard, reli yenyewe ndiyo hiyo jointed. Mm nawatakia kila la heri wauane ili wapate haki yao, haiwezekani majority waishi maisha ya kimbwa alafu minority waishi kifalme.
niliwaambia watu SGR Tanzania ikianza wataandamana kule kwao!SGR yetu ni gumzo uko ukunyan,kwenye comment za hii video nimeona maumivu ya kunyan ni makali mno
Old good memories Ikarus from wajamaa wenzetu Hungary 1980s
MGR ya tz ilo modern and comfortable than Kenyan SGR maana iko continuous welded mpaka Isaka imebaki kipande cha mwanza na kigoma tuu.Reli ya Kenya haijaungwa kwa moto yn haiko welded, iko jointed mwanzo mwisho, so treni zao zinalazimika kwenda mwendo wa kobe mana speed ikifika 80 tu inapiga kelele na ikiongezeka zaidi ya hapo inaweza ikaanguka, ni reli ya standard lkn kwa miaka ile ya 1800. Washamba sana wakenya, wamepigwa kindezi sn, hata sisi tusingekuwa na rais mjanja kama Magufuli tungepigwa kama wao, mana kina Kikwete walitaka kujenga kama ya Kenya.
Kofia inatoka na kuvalishwa. Wanatoa wakati wa kuvuta au kuunga vichwa. Ikiwa kwenye kazi inarudishwa.Alafu kwnn wametoa kofia zake hapo mbele au ndiyo ushamba unaendelea wa kina kadogosa