President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,637
- 94,261
Tanzania is not Kenya. Kenya ilikuwa inaongozwa na Stupid person abaye hana Education (Jomo) π€£ π€£ π€£ π€£Historia ya Tanzania independence ni fupi na very boring. Sijui maji maji rebellion jamaa wanajipaka maji ya kichawi kuzuia risasi.
Tunasoma the shortest war duniani ilikuwa Anglo-Zanzibar war, ilichukua dakika 30-45. Huu uzembe mulianza zamani sana ...
Jomo dropout π€£π€£π€£π€£Mnakubali kuongozwa na mtu aliye fail shule. Wakenya ni wajinga sanaCopy and paste merchant kwisha Habari yakoπππ
Copy and paste merchant Nyerere cannot be mentioned in the same sentence with freedom fighters like che guevara, Jomo kenyatta, Fidel Castro etc he is a western stooge like Nelson Mandela.
- Peaceful Protest and Diplomacy: Nyerere emphasized non-violent means to achieve independence. He believed that a peaceful approach would be more effective and sustainable in building a new nation. His advocacy for non-violence distinguished the Tanganyikan independence movement from other contemporaneous struggles.
- Negotiations with the British: Nyerere engaged in diplomatic efforts with the British colonial authorities. His approach was to seek a negotiated transition to independence rather than through armed struggle, which gained him respect both locally and internationally.
Tell us Level of Education of Jomo? π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Copy and paste merchant Nyerere cannot be mentioned in the same sentence with freedom fighters like che guevara, Jomo kenyatta, Fidel Castro etc he is a western stooge like Nelson Mandela.
Kwisha Habari yako, leo tumeangazia sheria za ardhi za Tanzania na hali ni mbaya kuliko South Africa wakati wa Apartheid. Serikali inaweza kukuhamisha kutoka ardhi yako halali bila fidia. Chadema wanakazi kubwa kuikomboa vumbi nationJomo dropout π€£π€£π€£π€£Mnakubali kuongozwa na mtu aliye fail shule. Wakenya ni wajinga sana
π€£ π€£ π€£ π€£ ππππWatoto wa Mama NginaKwisha Habari yako, leo tumeangazia sheria za ardhi za Tanzania na hali ni mbaya kuliko South Africa wakati wa Apartheid. Serikali inaweza kukuhamisha kutoka ardhi yako halali bila fidia. Chadema wanakazi kubwa kuikomboa vumbi nation
Tatizo mijitu kina February na mwenye tai ya bendera ya taifa ndio ipo eneo sensitive. Na imekua na ndoto za uraisi.Juzi na sisi tumechukua loan ya IMF . I hope haina condition za Ajabu . Plus Tanzania ijitahidi isije ikachukua Eurobond
According to wewe ndio boring.Historia ya Tanzania independence ni fupi na very boring. Sijui maji maji rebellion jamaa wanajipaka maji ya kichawi kuzuia risasi.
Tunasoma the shortest war duniani ilikuwa Anglo-Zanzibar war, ilichukua dakika 30-45. Huu uzembe mulianza zamani sana ...
Uko sahihi kabisa, mama anaupiga mwingi sana kwenye mikopo. Juzi akakopa 2.5bn dollars S.korea na sahii ameingia IMF. Tukizungumza debt to Gdp ratio ya Tanzania imefika 50%, Chadema wanakazi kubwa kuikomboa TanzaniaJuzi na sisi tumechukua loan ya IMF . I hope haina condition za Ajabu . Plus Tanzania ijitahidi isije ikachukua Eurobond
Kumtaja Jommo Kenyatta orodha moja na Fidel Castro ni MATUSI kwa Fidel Castro.Copy and paste merchant Nyerere cannot be mentioned in the same sentence with freedom fighters like che guevara, Jomo kenyatta, Fidel Castro etc he is a western stooge like Nelson Mandela.
Wakundustan wana idadi ya watumishi wa umma zaidi ya million 1 na wote wanalipwa kwa mikopo ya IMF na WB since Kunyaland ni failed state, wanapanua midomo huku kila siku kwamba kila ghorofa linalojengwa Kunyaland linakua full occupied hata before completion kumbe ni pesa za IMF hizo πππ wacha walipie sasaKwa huu upuuzi,naunga mkono Gen Z kuendelea Kupeleka moto ππ
View: https://www.instagram.com/p/C89ozMXIij6/?igsh=MTRzbmplN20xNW0wMg==
Nchi inanuka Madeni harafu wao wanaongezeana salary?
Unaota? ππππ.Debt to GDP ratio Iko chini ya 40%,Lowest in Sadsc na EAC.Uko sahihi kabisa, mama anaupiga mwingi sana kwenye mikopo. Juzi akakopa 2.5bn dollars S.korea na sahii ameingia IMF. Tukizungumza debt to Gdp ratio ya Tanzania imefika 50%, Chadema wanakazi kubwa kuikomboa Tanzania
Beberu alikuwa akiangusha mabomu kutoka kwa ndege kwa ngome za mau mau. Hilo sio jambo dogo mzee, na tulikwenda nao mpaka wakakubali kutuwachia uhuru. Settler colonies kama SA na Zim walitawala mpaka 90s, lakini huku tuliwakaanga vibaya sana kutokana na rebellions za Mau Mau.Kumtaja Jommo Kenyatta orodha moja na Fidel Castro ni MATUSI kwa Fidel Castro.
Matatizo waliyopitia Cuba ingelikua ni Kenya msingechomoka jino moja.
Kenya mmepitia changamoto za kawaida sana za kuutafuta uhuru,diplomasia ingezaa matunda zaidi.
Ila Cuba iweke kando brother.
Haiti kubaya tuache utani.Wakunya wamechinjwa πππππ
View: https://www.instagram.com/p/C89iiiUoK_u/?igsh=cGttdXJoZDl6aXU1