Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata sijui. Hata mahindi ya GMO sijui. Hivi unajuaje kama hii ni GMO ? Labda nimewahi kula na sijui.
 
Ila kile chakula kimewaumiza sana. Mzee wa milo mitano. 😂 😂
Swetie nimeshajishibia hapa nilipo natafuta usingizi halafu on second note sea food ya Tz ni balaa huwezi linganisha na hiyo aliyekula yule jamaa wa one meal 😁
Njoo Tz nikutembeze kila mahali utafurahi ukawe a good ambassador kwa wenzako.
 
Wako wengi tuu chinese shops.
 
Do you know why when people get sick are sometimes prescribed vitamins?
Kwanza,to boost their appetite so they they eat and boost immunity.
Mimi sio Daktari lakini kwakua nimeshughulika nao kwa muda sana due to medical condition niliyo nayo. Kuna general assumption among them kuwa vitamins huboost appetite but in reality sio kweli. Haya mavitamins hutia tu mtu njaa na hayaboost appetite.

Condition niliyonayo ni cardiac ambayo tatizo lake kubwa ni kukosa hamu ya kula kabisa, nimekuwa nikipewa maujinga hayo since childhood, initially assumption ilikuwz ni minyoo. Haikuwa na masaada wowote zaidi ya kuumiza kwa njaa lakini appetite ya kula haikukuwepo till nilipokuwa mkubwa na kutafuta suluhu na suluhu bora ilikuwa ni life style na muda sahihi wa kula, nini na nini si cha kula or cha kunywa. I will stop here.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…