Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakishaapigwa huwa wanajaribu kuharibu mjadala hivo. Amegundua ile flex yake ya kula milo tano ni ujinga so aseme tu chochote mradi mjadala uharibike. 🀣 🀣
Narudia tena mimi nakula milo 5 kwa siku. Three traditional meals and snacks in between na hii ndio norm kwenye nutrition and diet uliza mtaalamu yoyote hakuna atakayepingana na mimi kuhusu hilo.
 

Huyo hapo kaiba ugali akale na wanae,halafu unaweza kukuta huyo jamaa yupo kwenye huu uzi akidai kundustan ni usa ya afrika
 
There is a process called autophagy, a state where the body exercises "self eating" (removing unnecessary junk and throttling the healing process). The body must be running on ketones for this to happen. Knowing this, the brain inhibits a person from having desires to eat. Nutrients, like electrolytes and vitamins are okay but heavy meals are discouraged for maximization of the healing process.
 
Ona wanavyo tap tapa, si walijifanya wajanja na hiyo northern corridor. Sasa wanataka kujikomba kuingia na mlango wa nyuma.
Na Sisi hatuna hiyana, tutawaruhusu, watatulipa, watu wetu kwenye hiyo miji watafaidika, watalipa mizani, pesa zetu zitaongezeka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…