Hamna Taifa lina wananchi Wapumbavu kama Kenya! sasa wanashangaa nini wakati budget yao ni kubwa kuliko kodi wanayokusanya?πππππ
View: https://x.com/Empapa90/status/1807649563357978822?t=UQDdJdnmSAA1_dkzJz_Gdg&s=19
View: https://x.com/mannuel122/status/1807651742550577505?t=c34TRI_JdPIPT6sOgX2eHg&s=19
View: https://x.com/mnaitawang/status/1807650482120237249?t=oJN9yXPe6l5BLoBmrIYiBA&s=19
View: https://x.com/henry_malu57257/status/1807649470433165404?t=nI8R4iR3TfEkHz6vu_08mA&s=19
Hamna uwezo wa ku-afford potatoes za Europe zitakuwa packed hapo Njombe kwenye sachet za European brands ziletwe Gikomba na kusambazwa the whole of Ukunyani! Mark my words! We feed u and it will remain that way! Now maandamanoya Gen. Z yapo wapi this week?Hakuna kitu hunifurahisha kama mbongo kulalamika eti hatununui kwao chakula. π€£ π€£ π€£
Raptah ndio mji gani kaka!?Raptah city ilikuwa kongwe kuliko hata Kilwa... Baada ya kuanguka na kumezwa na Bahari ndio ikaibuka Kilwa... Tanzania ndio source of civilisation ukanda huu wa Afrika... Na hilo liko wazi... Hata sasa tunaona!
Sasa mbona sisi hatujawai lalamika mmekataa kutuletea chakula yet kila mara mnalalamika hatununui kwenu?Hamna uwezo wa ku-afford potatoes za Europe zitakuwa packed hapo Njombe kwenye sachet za European brands ziletwe Gikomba na kusambazwa the whole of Ukunyani! Mark my words! We feed u and it will remain that way! Now maandamanoya Gen. Z yapo wapi this week?
Kwani Waziri wa Ujenzi alipoanda aliwafanyaje wale wasimamizi?Huo ni uongo. Pantoni zilikuwa zinakarabatiwa. Tena Mv Magogoni ndio iliofanyiwa ukarabati mkubwa kabisa. Mv Kigambonj nayo wakati wa Magufuli ilishakarabatiwa. Mv Kazi ilikuja mpya wakati wa Magu. Kusema pantoni wakati wa Magu zilkuwa hazikarabatiwi ni uongo. Uzembe na wizi ndio uneleta hii shida kivukoni.
Bonge la View , Na kitu matata kabisa. πHabari ya Asubuhi wana Afrika Mashariki.
View attachment 3030342
Ile daily dose iko wapi siku hzi ππππHabari ya Asubuhi wana Afrika Mashariki.
View attachment 3030342
Ifike hatua wakat mwengine tukosoe sio kusifia Tu, na ukiona mtu ana sifiwa Sana ujue kuna shida kubwa Sana nyuma yakeKwani Waziri wa Ujenzi alipoanda aliwafanyaje wale wasimamizi?
Hapo kwenye pedestrian walkways kutudanganya.Huyu jamaa amewapiga kiboko najua wengi humu watakasirika sana. π€£ π€£
Here is a real comparison between Dar and Nairobi by a foreigner with no bias.
Points.
1. Dar es Salaam is extremely slow. Nairobi is fast.
2. Nairobians are more metropolitan
3. Nairobians speak better English.
4. Both Cities have friendly people.
5. Nairobi has a more city vibe than Dar es Salaam.
6. Nairobi has more advanced architecture with more skyscrappers.
7. Nairobi has more glass buildings. (Wale wa blue glass buildings wako wapi? Niliwaambia hapo kwenu ni excitement tu kisa hamjazoea hizi vitu) π€£ π€£ π€£
8. Nairobi buildings are better designed than Dar buildings.
9. Nairobi architecture is British influenced, Dar architecture is Arab, German and Indian influenced.
10. Nairobi has better quality buildings.
11. Malls in Dar es Salaam are terribly designed and horrible to be there and have fewer people with little to do there.
12. The roads are better in Nairobi. Roads in Dar are dreadful. (Niliwaambia huwa mnapiga picha za highways pekee mkipost. π€£π€£π€£
13. Nairobi is more modern. Dar is more historical.
14. Most roads in Dar have no pedestrian walks. Nairobi has more pedestrian walks.
15. Dar es Salaam has almost no parks. The few that they have are crappy.
16. Nairobi is a more international city than Dar.
17. Dar es Salaam people like to show off. Even in clubs when they buy drinks they have to flash out and show off to convince people they have lots of money when most of them are actually poor and just spend most of their salary on booze. π€£π€£
18. Quality of sound systems in Dar is terrible and the speakers are cheap. Sound systems in Nairobi are better.
19. Both cities have very poor street lighting.
20. Dar is hot, Nairobi is colder and chilly - swimming pools in Nairobi are heated. Loves Dar es Salaam climate more.
Najua mtamchukia huyu mzungu sana.π€£π€£
Geza Ulole Chamoto RRONDO buffalo44 mwaiofhawaii mwathadan Reborn Ktb
View: https://www.youtube.com/watch?v=QqLlo8RMc1g