Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo asili yake ni Kenya ni mtoto wa Mjaluo mmoja anaitwa Sarungi na mama yake ni mzungu kutoka Ulaya. Sisi wabongo tumemuweka kwenye kundi la wasaliti. 🀣 🀣 🀣 🀣
Kapingane na wabongo wenzako wewe msaliti wa ukombozi hakika wa taifa.., mlamba matako ya CCM hehehe.,






Nimeenda zangu mie.., wewe endelea kujidanganya kwa kujiliwaza. Pole sana, mtapona siku moja.
 
Huyo asili yake ni Kenya ni mtoto wa Mjaluo mmoja anaitwa Sarungi na mama yake ni mzungu kutoka Ulaya. Sisi wabongo tumemuweka kwenye kundi la wasaliti. 🀣 🀣 🀣 🀣
Wakenya hatutambui mipaka, tunatamba kila mahali.
 
Ndio unaendelea kuthibitisha Tanzania tupo na uhuru wa kutoa maoni. Sasa wamewasaidia nini hao virtual people? Je, unaouthibitisho kuwa huyo aliyeandika hayo siyo mtu mmoja au mkenya? 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Tanzania is a civilized nation we don't have emotional politics.
 
The liberation of Africa is not complete until CCM is removed
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Unaota mchana kijana. Pambaneni na mambo yenu kenya. Liberation of Kenya depend on Kenyans. Pambaneni na Kenyatta Family. Mengine mtahangaika sana. Mama Ngina Owns you.
 
Yaani mpaka watu wanaji organize na kwenda kuvamia bunge it means intelligence Security of Kenya is very weak.
Bunge ni mhimili wa juu sana wa Taifa unatakiwa kulindwa kwa cost zote. 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
Wako incompetent kwenye kila idara ni ghetto state, kiongozi wa department kama sio kabila lako utapambana na hali yako


View: https://youtu.be/Eemh_SM9Yw8?si=vOwnjfpNkpmgonbE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…