Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
wakenya tuvuke dar slum tuwakomboe hawa ndugu zetu maitiGEN Z WINS!!!!!.., wenye wivu na roho chafu, waoga waoga wajinyonge..
View attachment 3026776
View attachment 3026779
View attachment 3026781
View attachment 3026783
GEN Z 10 - Ruto 0.
Wewe ndiyo wakuniambia nijifunze kiswahili sanifu? Upo na umri wa miaka mingapi kweli? Maana watoto primary scholls na wenye bachelor degree ndio wanao fuatilia sana mambo ya spellings 🤣 🤣 🤣 🤣Jifunze kiswahili sanifu ndio uje ujadili mambo na mimi, usituharibie lugha yetu.
Muulize Idd Amin Dadaa kilichomkuta. Security ya Tanzania is very complex. Kenya is the most weak nation in Africa.wakenya tuvuke dar slum tuwakomboe hawa ndugu zetu maiti
Hao ni vichaa kaka. 🤣🤣🤣Nchi ilishaoza miaka mingi mno. Wanamsingizia Ruto tu kwa sababu is not Kikuyu.
Hawakomboleki wanahitaji tambiko hawa., hehehewakenya tuvuke dar slum tuwakomboe hawa ndugu zetu maiti
Sio security ya Tanzania na watanzania, ni ya CCM nyinyi ni viazi hamna lenyu, inauma! hehehehe.., unajiliwaza..,Muulize Idd Amin Dadaa kilichomkuta. Security ya Tanzania is very complex. Kenya is the most weak nation in Africa.
Outdated news. Upo out of time mzee. Issue ya tarehe 24 ndio unaipata leo 🤣 🤣 🤣
CCM ni nini kijana? Hebu tuambie who own CCM 🤣🤣🤣 But Kenya owned by Mama NginaSio security ya Tanzania na watanzania, ni ya CCM nyinyi ni viazi hamna lenyu, inauma! hehehehe.., unajiliwaza..,
Tatizo la wabongo hamjui kutenganisha r na l katika matamshi na uandishi. Kiswahili kiheshimiwe na kitukuzweWewe ndiyo wakuniambia nijifunze kiswahili sanifu? Upo na umri wa miaka mingapi kweli? Maana watoto primary scholls na wenye bachelor degree ndio wanao fuatilia sana mambo ya spellings 🤣 🤣 🤣 🤣
Chama Cha Mafala., unajitoa ufahamu eti?..., liboya!CCM ni nini kijana? Hebu tuambie who own CCM 🤣🤣🤣 But Kenya owned by Mama Ngina
Sasa kama unajua hatujui kutenganisha r na l shida yako ni nini sasa? Unaumia au? 🤣 🤣 🤣 🤣Tatizo la wabongo hamjui kutenganisha r na l katika matamshi na uandishi. Kiswahili kiheshimiwe na kitukuzwe
Hiyo ni definition yako kwa kuwa you have low education. 🤣🤣🤣🤣Chama Cha Mafala., unajitoa ufahamu eti?..., liboya!
#RejectCCM hio ndio motto
Huyo asili yake ni Kenya ni mtoto wa Mjaluo mmoja anaitwa Sarungi na mama yake ni mzungu kutoka Ulaya. Sisi wabongo tumemuweka kwenye kundi la wasaliti. 🤣 🤣 🤣 🤣Wakati wabongo wakicheza coma sava ya diamond, wakenya wanajikomboa..
View: https://twitter.com/MariaSTsehai/status/1805972168724922715?t=8D63SxTL26AY9Aqmgi0bKw&s=19
Utaweza?🤣🤣🤣🤣 CCM imeanzia kwenye mashina. Viongozi wa Nyumba Kumi Kumi. Tunawaita mabalozi.#RejectCCM hio ndio motto