Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya bhn kuna vituko sana 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣

Alafu angalia mazingira jinsi yalivyo kama kijijini aloo 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hizi clips huwa zinaanika chupi za wakundustan upenuni 😁😁
 
Shida ni kwamba kipindi wanajenga hawakuangalia kuhusu watu watapita wapi?
Sio apo tu ni sehemu nyingi tuu, hata huko kokoto kutoka zipo sehemu zingine , mimi nimeona.

Afu vivuko havijaendana na watu, utakuta watu wamezoea kupita hapa kivuko wameweka kule.

Mwishowe kwa akili ya wabongo fensi zenyewe na waya , watatobao tuu upande huu na upande ule.
 
Tunakusubiri kwenye I'd yako ya siku zote ukimaliza Rudi kule plzπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watanzania bhana tunacheka kenya, wakati sisi wenyewe huku hali ngumu kama nini mpka NSSF wanaenda kuwekeza kule ili kupata faida. Uwekezaji wa majengo.

Maisha ya TZ magumu tuu kama kenya. Au vijana wa humu ni UVCCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…