Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The real definition of development.. miaka 6-7 hatukua na haya maeneo kabisa. Hapa palikua pori tu. 5km away from Dodoma old city center 👇.. wewe mbwa Don YF. Leta zile takataka gorofa za udongo hapo Mombasa. 🤣🤣🤣🤣 mji wa mombasa umechakaa kama upumbavu. Hii si government city, just a random new development in the city of dodoma.
 
Kwa haraka haraka naona Ewura, Judiciary towers, Sgr terminal ama kweli hii sio government city, Voi ni kubwa kuliko hiki kijiji cha serikali 😃
 
Kwa haraka haraka naona Ewura, Judiciary towers, Sgr terminal ama kweli hii sio government city, Voi ni kubwa kuliko hiki kijiji cha serikali 😃
Picha zote hizo umeona majengo mawili tu .? Au ndio huo wivu.? Unaumwa moyo.? 🤣🤣🤣 leta zile majengo chakavu zilitapakaa mombasa nzima.. mana hakuna mji wowote wenye unaweza leta balls kwa hiyo NCC link pekee.
 
Kama voi aisee lakini barabara ni za tope 😂😂😂😂
 
Kwani unadhani hawaijui Dodoma hao, wanaleta u joker tu wangese hao. Natena nikwambie hizo picha umeweka ni za kitambo kidogo, kumeshabadirika kabisa hapo mkuu.
 
Kwa haraka haraka naona Ewura, Judiciary towers, Sgr terminal ama kweli hii sio government city, Voi ni kubwa kuliko hiki kijiji cha serikali 😃
Bro Dodoma is not a joke, wacha kabisa mchezo, ndiyo mji unaokula pesa ya Tanzania kwa sasa just imagine, cement inayotumika hapo ni zaidi ya cement zinazotumika EA nzima combined.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…