The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Nadhani umegundua upumbavu wako, now unajaribu kujitetea, yani ukubwa wa Tanzania utegemee mapato kutoka kighorofa kimoja? Hiyo ni pesa ya mtu mmoja mpigaji ambaye kwa sasa ndiye waziri wa mambo ya nje anaitwa Makamba jr, hakuna wizara aliyopita asiharibu huyo jamaa, hayo majengo ni mkakati wake wa upigaji.So, Let me get this straight… you are disputing my statement because you are saying Tanzania is building 2 twin towers, 22 floors each for one reason only…to fill the whole place with Embassy offices???… kwani what kind of representation are you trying to install in your diplomacy with Kenya?….🤣🤣🤣🤣🤣…. Try again..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We mbeba box a.k.a mwai sadima Dickson mpumbavu wa ukoo wa sadima boxes zimekula ubongo wako? Au trekta limekuchosha? Hebu niambie.Unless you are creating the office of Tanzania Beggars in Kenya (OTBK), then 2 twin towers might not be enough, you need a third tower for the workload in bureaucracy accommodation …🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Economic diplomacy we are bringing our Tanzanian agencies and companies to kenya all will be accommodated in that building including government grain suppliers, Tanzania Ports Authority and TRC we are coming for your pie in your own land.So, Let me get this straight… you are disputing my statement because you are saying Tanzania is building 2 twin towers, 22 floors each for one reason only…to fill the whole place with Embassy offices???… kwani what kind of representation are you trying to install in your diplomacy with Kenya?….🤣🤣🤣🤣🤣…. Try again..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yani ni kama mtoto mdogo akiambiwa well done alafu anaanza kujipiga kifua eti anajua kuliko mamake. 🤣 🤣
Tourism over 6bn dollars, kundustan leteni data yenu tufanye comparison.
Kabla budget haijaanza kutekelezwa watakuja na supplementary budget. Aki Kundustan ni vituko sana 🤣🤣🤣
Tanzania is dominating buncrapty Kundustan kuanzia kwenye gesi Hadi kwenye buildings 😁😁Yani ni kama mtoto mdogo akiambiwa well done alafu anaanza kujipiga kifua eti anajua kuliko mamake. 🤣 🤣
Kumbe na wewe umegundua. Hakuna sababu yoyote ya kujenga majengo hayo. Anaungana na wakenya ili kuendeleza wizi wake. Asidhani watu ni wapuuzi. Jamaa is very cheap kama baba yake.Nadhani umegundua upumbavu wako, now unajaribu kujitetea, yani ukubwa wa Tanzania utegemee mapato kutoka kighorofa kimoja? Hiyo ni pesa ya mtu mmoja mpigaji ambaye kwa sasa ndiye waziri wa mambo ya nje anaitwa Makamba jr, hakuna wizara aliyopita asiharibu huyo jamaa, hayo majengo ni mkakati wake wa upigaji.
Kino Yves sio mjinga, Kama anapita kwenye game reserve huwa anasema before, during ama after kufika final destination. LDC imevuliwa chupi on international platform😂Wapi hapo ametembea kwa game reserve? Wacha excuses mjenge barabara.
Nimefika sasa nyie wakenya wenye elimu duni. Hapa hatuongelei Trivial Information tuna jadiliana serious issues.Kino Yves sio mjinga, Kama anapita kwenye game reserve huwa anasema before, during ama after kufika final destination. LDC imevuliwa chupi on international platform😂
Si nilisema mimi yule jamaa wa one liner ana pretend lakini wenzake wameumia, sema wanamuogopa hawawezi muambia. Hilo jengo likiisha tutawatambia humu ndani hatutaki kujuwa nilanani 😂😂😂😂😂Kumbe na wewe umegundua. Hakuna sababu yoyote ya kujenga majengo hayo. Anaungana na wakenya ili kuendeleza wizi wake. Asidhani watu ni wapuuzi. Jamaa is very cheap kama baba yake.
Yule baba yake was very cheap alipo kuwa KM kule CCM mtumishi akipewa posho alikuwa akiwakata na kula.
Hiyo family inanuka rushwa na wananunuliwa kirahisi sana. I don't know kwanini Rais kamuweka kwenye wizara nyeti kiasi hicho.
Hawana miradi ya kupost, hawana shughuli za kufanya, hawana vitu vya maana vya kupost...unategemea nini. 😂😂😂Nimefika sasa nyie wakenya wenye elimu duni. Hapa hatuongelei Trivial Information tuna jadiliana serious issues.
Hizi childish agendas nendeni mkajadiliane kule kunyatalk.com
So whatever you bring here must accompanied by evidences and references.
Do you have those two?
Adui no 1 WA Tanzania ni Kenya na hili mbona nishazungumza Sana 😂😂😂😂Always ni wao tu wanalalamika na kuisema vibaya Tanzania.
Hata huyo Aliyekuja kujaribu treni. Mara aseme blackout. Wakati wanakuwa wanachange source ya power na anaona treni inatambea.
Yaani ni kama wana mission moja ya kuharibu image ya Tanzania Duniani ionekane mbaya. Wanaona Tanzania inawaacha mbali so kazi walionayo ni kuiponda kila wakipata nafasi.
Mwingine nimemuona jana kwenye YouTube yake anasema Airport Road is too dusty😂 wakati iko under construction na wanaweka BRT system.
Kimsingi tunaishi na wachawi karibu.
Hajaelewa how it works.Wenye Sgr yenu mnaitwa huku mtoe maoni👇👇
View: https://twitter.com/Sisimizi3/status/1803480214581678486?t=ytzqIeHdek2T7cyoAfav8A&s=19
Mzee unaijua system ya Tanzania kweli? Hilo Jengo litaishia kwenye paper work zake tu. Tanzania yote inamjua na harakati zake.Si nilisema mimi yule jamaa wa one liner ana pretend lakini wenzake wameumia, sema wanamuogopa hawawezi muambia. Hilo jengo likiisha tutawatambia humu ndani hatutaki kujuwa nilanani 😂😂😂😂😂
mwaiofhawaii
Cb amepost video akicheza komasava sasa wakunya wamejazana kwenye comments wakiweka vibendera vyao, wana shobo balaa. 😂😂😂Adui no 1 WA Tanzania ni Kenya na hili mbona nishazungumza Sana 😂😂😂😂
Na wakenya hudhani Tanzania ndio mhasimu wao mkubwa, ajabu Sana, wao vita Yao kubwa hua hawataki Tanzania ifanye maendeleo kuwapita wao, walianzisha miradi mingi kushindana na Tanzania sijui railway city haya waulize kiko wapi??? Miradi mikubwa asilimia 99 inamilikiwa na mchina na ni Mali ya mchina alaf wakija humu ohh Sisi ni USA ya Africa 😂😂 ohh bus zinazokuja Tanzania kutoka china ni fake
Wacha nikuache maanake ushaanza kuwa mwendazimu. 🤣 🤣Tanzania is dominating buncrapty Kundustan kuanzia kwenye gesi Hadi kwenye buildings 😁😁
Eti ndio upperhill tazama eneo lote pori nyumba za kuhesabi na torch 😂😂😂😂Kwa wale ambao wameshtuka kuhusu Twin Towers za Tanzania kujengwa Nairobi. Huo mpango ulianza toka 2010, Kwa wale wa Skyscrapercity watakumbuka, kilichobadilika ni render tu na kiwanja kinaweza kuwa hiko hapo 😎 japo sina uhakika.
Tanzania pia inamiliki Jengo Washtong DC linaitwa Tanzania House, Ni mali yetu walipa kodi na Tujivunie.
View attachment 3020990