NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,331
- 19,714
East Africa hakuna mtaa unaweza fikia Kilimani ukitoa mitaa ya Nairobi. Yani kwa mitaa ya Kifahari East Africa Nairobi inachukua number 1 - 10. Na hapo 11 ni Kigali ndio itaingia.nishachoka macho tayari bana
Hiyo ndio Spring Valley yao.πππlol...5th world tanganyika
Hao vijana jobless kutoka kenya. Badala ya kufanya kazi productive za kuleta maendeleo katika nchi zao vijana wengi huko kenya kwa sasa wanakuwa Vloggers. π€£ π€£ π€£ π€£ Ukiona nchi inakuwa na vijana wengi wanakimbilia kwenye cheap jobs ujue tayari nchi hiyo inaelekea kubaya.
π€£π€£π€£π€£Umekuja tena na brags. Huna exposure kijana. Tafuta watu wa kuwadanganya.East Africa hakuna mtaa unaweza fikia Kilimani ukitoa mitaa ya Nairobi. Yani kwa mitaa ya Kifahari East Africa Nairobi inachukua number 1 - 10. Na hapo 11 ni Kigali ndio itaingia.
Wanapenda kupiga Ile Barack Obama Drove na Kenyatta Drive wanajaza mafilter alafu wanafananisha na vichorochoro vya Nairobi wanajiliwaza.ππndinda hawezi piga hii filters π π π π π π
Hawana tofauti na Teargas ha ha haπHao vijana jobless kutoka kenya....
Mzee hujishitukii tu kwamba you are outdated? π€£ π€£ π€£ Dunia ilishatoka kwenye cheap propaganda (Bullying, Bragging, lies). Njoo kwa namna mpya kijana.Wanapenda kupiga Ile Barack Obama Drove na Kenyatta Drive wanajaza mafilter alafu wanafananisha na vichorochoro vya Nairobi wanajiliwaza.ππ
Just imagine kijana huyo ananguvu kabisa anaweza kufanya kazi za kilimo vizuri. Anazunguka kushikilia camera na kujipiga picha huku anatembea π€£ π€£ π€£ π€£ Anazunguka huku na huko ili aweze kupata views nyingi kwenye youtube. Hivi huko kenya katika orodha ya kazi Vlog nayo kazi? NairobiWalkerHawana tofauti na Teargas ha ha haπ
ππππ Anaongea kwa chuki Tu, niliwah kupost video ya street za mwanza nikawaambia Mombasa au Kisumu ikikaribia such modern streets nafunga ACC walikimbia wote mpaka Leo hawataki hio Madaπ€£π€£π€£π€£Umekuja tena na brags. Huna exposure kijana. Tafuta watu wa kuwadanganya.
Wewe kima heb post hizo best places za huko upumbavuni tuone kama zinawezana na ocean drive, unaandika ushwa tu, nimekuvumilia nimechoka.. nipo hapa nasubiri,nipo na wewe sako kwa bako leo ππWanapenda kupiga Ile Barack Obama Drove na Kenyatta Drive wanajaza mafilter alafu wanafananisha na vichorochoro vya Nairobi wanajiliwaza.ππ
Yaaani unajenga aje bungalow kwa environment mbovu hivi??Mbezi hii hapa. Unasema kilimani hakuna barabara. Mbezi 95% barabara ni vumbi. Kilimani hamna barabara hata moja ya vumbi. Kama ipo post tuone.
Kenya hired kwaajili ya kuichafua Tanzania We all know you. Mwambie aoneshe Ticket ya Air Tanzania π€£ π€£ π€£ π€£
π€£ π€£ π€£ π€£ π π π πYaaani unajenga aje bungalow kwa environment mbovu hivi??
Watu wakuwe serious na pesa zao.
Halafu huo ndio mtaa wa Kifahari eti.ππYaaani unajenga aje bungalow kwa environment mbovu hivi??
Watu wakuwe serious na pesa zao.
Wanajaribu tu, bado hawajajua business yaa airline ni Nini.π
πππ. Au sioEast Africa hakuna mtaa unaweza fikia Kilimani ukitoa mitaa ya Nairobi. Yani kwa mitaa ya Kifahari East Africa Nairobi inachukua number 1 - 10. Na hapo 11 ni Kigali ndio itaingia.
Hata hapa nimepost video moja tu ya Sinza ambayo Barabara zake zina horizontal infrastructure nzr sana kuliko Nairobi CBD lakini Wameikacha wamekimbilia mitaa ya mbezi chini na kwa zena huko karibu na kaweππππ Anaongea kwa chuki Tu, niliwah kupost video ya street za mwanza nikawaambia Mombasa au Kisumu ikikaribia such modern streets nafunga ACC walikimbia wote mpaka Leo hawataki hio Mada