Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Were they protesting for Ugali or increase of prices of flour, mnatamani fikra zenu ziwe kweli lakini wapi.., unajiliwaza tu mlivyo hovyo.., 😱😱 😀 😀 😀 .., KENYA MY LOVE!!! mwaga povuuu
Tell me, Why is Kenya ruled by only two tribes? 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Tanzania is a Civilized State. Kenya bado mnahangaikiwa chakula 🤣 🤣 🤣 🤣 You need to protest for Kenyatta to return your land.
It works, jinyonge kaka, haya maumivu na wivu hayaishi leo.., hehehe
1718719597685.png
 
Only Kalenjin and Kikuyu are allowed to lead Kenya since Kenya's independence. You don't see that you are still walking in the dark 🤣🤣🤣🤣
Ukitaka kufa hauna lako wewe.., ni Kenya sio Tanzakundu the North Korea of EAC., hehehehe
 
🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪., hii courage hamna, Kenyan youths are rocking it, Ruto ame tii na kuondoa clauses that were punitive.., I love Kenya!!!!!.., nyie bakini kwa nchi ya waoga, mmekandamizwa sauti hamna, mnapiga domo domo kwa mitandao mna complain sana kwa uzi zenu lakini no action, jioni mnarudi uswazini maisha yaendeleeyl yalivyo.., hehehe🤣🤣🤣🤣🤣

Ruto ako na bahati sana University most faculty wamefunga for long holiday hadi September.., serikali ingejua haujui..,
Kumbe budget yenu maji na mafuta yameanza kujitenga 😂😂😂😂😂

Uongo wakudanganya kondoo kama ww umeisha SASA mumeanza kupata akili baada ya kuona Africa inakwenda Kasi sana
 
Kumbe budget yenu maji na mafuta yameanza kujitenga 😂😂😂😂😂

Uongo wakudanganya kondoo kama ww umeisha SASA mumeanza kupata akili baada ya kuona Africa inakwenda Kasi sana
Unajibu hewa tu, how does your response resonates with whats on the table?.ata hauna uwelewa wowote kuhusu exactly whats happening and why? unaangalia tu picha na clips na kujichekesha., 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 ,mko hovyo wengi hehehehehehe.., kaka fyata tu., kimya muhimu
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Jibu swali kijana JF inataka kujua. Why is Kenya ruled by only two tribes?
Jibu ni vile fikra zako zinakuambia, uko sahihi kwa mtazamo wako kilaza, siwezi pingana na fikra zako punguani tafadhali., jiliwaze polepole, najua unaumwa ila utapoa tu.,
 
Democratic government, wacha kujitoa ufahamu wazi wazi🤣🤣🤣🤣., democracy means people power💪Kenya sio China ama North Korea kama Tanzania ilivyo.., taifa lenyu ni la kishetani hivi., 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni lini Kenya serekali ishawahi sikiliza nguvu ya raia, mara ngap raila anashinda uchaguzi na hapewi kiti 😂😂😂😂

Lini Kenya ikasikiliza wakenya masikini wakat nchi inanuka ubeberu na ubepari 😂😂😂

Juzi ruto katoka USA kaenda kuuza nchi kabisa, na still bado munahali mbaya ya kupindukia ,

Kila mwaka budget yenu hua haitumii hata kwa asilimia 40 na haitakuja kufanya hvo kwasababu mushazoea kudanganya alaf mwishoni munaanza kuuwana
 
Unajibu hewa tu, how does your response resonates with whats on the table?.ata hauna uwelewa wowote kuhusu exactly whats happening and why? unaangalia tu picha na clips na kujichekesha., 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 ,mko hovyo wengi hehehehehehe.., kaka fyata tu., kimya muhimu
Sina habari wakat mm ndio nimeleta humu ndani 😂😂😂😂😂

Mushazoea kuburuzwa kwa uongo kama kondoo wenye utapiamlo, how comes budget kubwa alaf bado watu wanataka kuuwana, punguzeni uongo kaeni kwenye uhalisia wenu mujenge nchi kwa misingi ya ukweli na haki
 
Ni lini Kenya serekali ishawahi sikiliza nguvu ya raia, mara ngap raila anashinda uchaguzi na hapewi kiti 😂😂😂😂

Lini Kenya ikasikiliza wakenya masikini wakat nchi inanuka ubeberu na ubepari 😂😂😂

Juzi ruto katoka USA kaenda kuuza nchi kabisa, na still bado munahali mbaya ya kupindukia ,

Kila mwaka budget yenu hua haitumii hata kwa asilimia 40 na haitakuja kufanya hvo kwasababu mushazoea kudanganya alaf mwishoni munaanza kuuwana
Boss unajiliwaza tu.., processes are there and were followed, Raila alipoteza kura fair and square, ata kama I voted blue., the lawyers failed to present a water tight case, courts decided na akatii amri,.. nyie je? bado mko porini wacha kujitia hamnazo na fikra zako uchwara, unasukumwa na hisia za wivu, chuki na blind patriotism kwa taifa hovyo la Tanzania..., boss pambaneni na North Korea yenu tukome kabisaaaa.., nawaombea nanyi mfike siku moja na nyinyi muwe na ujasiri ya kusimama kinyume na serikali yenu...,
 
Ni lini Kenya serekali ishawahi sikiliza nguvu ya raia, mara ngap raila anashinda uchaguzi na hapewi kiti 😂😂😂😂

Lini Kenya ikasikiliza wakenya masikini wakat nchi inanuka ubeberu na ubepari 😂😂😂

Juzi ruto katoka USA kaenda kuuza nchi kabisa, na still bado munahali mbaya ya kupindukia ,

Kila mwaka budget yenu hua haitumii hata kwa asilimia 40 na haitakuja kufanya hvo kwasababu mushazoea kudanganya alaf mwishoni munaanza kuuwana
I love the way you people dwell on propaganda… Ruto deal with the US is nothing new or different from many other such deals… whether it’s Philippines , Egypt, Morocco, Jordan etc .. if Mama Samia was offered such a deal, she would snatch it in a heartbeat ( believe me)..… but we know it’s human nature to be critical of anything and everything… hey!.. they even criticized Jesus for walking on water … coz it means he couldn’t swim…🤣🤣🤣🤣
 
Sina habari wakat mm ndio nimeleta humu ndani 😂😂😂😂😂

Mushazoea kuburuzwa kwa uongo kama kondoo wenye utapiamlo, how comes budget kubwa alaf bado watu wanataka kuuwana, punguzeni uongo kaeni kwenye uhalisia wenu mujenge nchi kwa misingi ya ukweli na haki
Unaangalia tu tweets kwa X na clips huwelewi kikamilifu, wewe ni mbio ku post, unaangalia through the eyes of wivu na chuki so una read fikra zako na matamanio yako into the story, hehehe, yaani ni wazi sana from the captions u give, uko zero.., hehehehe
 
Boss unajiliwaza tu.., processes are there and were followed, Raila alipoteza kura fare and square, ata kama I voted blue., the lawyers failed to present a water tight case, courts decided na akatii amri,.. nyie je? bado mko porini wacha kujitia hamnazo na fikra zako uchwara, unasukumwa na hisia za wivu, chuki na blind patriotism kwa taifa hovyo la Tanzania..., boss pambaneni na North Korea yenu tukome kabisaaaa.., nawaombea nanyi mfike siku moja na nyinyi muwe na ujasiri ya kusimama kinyume na serikali yenu...,
Wapi wewe nchi inamiaka 60+ ni kabila mbili Tu ndio zimeongoza hapo alaf unaongea nn wewe 😂😂😂😂😂😂

Yani akili zenu zimeshikwa hvi 😂😂👇👇👇
images (85).jpeg
 
I love the way you people dwell on propaganda… Ruto deal with the US is nothing new or different from many other such deals… whether it’s Philippines , Egypt, Morocco, Jordan etc .. if Mama Samia was offered such a deal, she would snatch it in a heartbeat ( believe me)..… but we know it’s human nature to be critical of anything and everything… hey!.. they even criticized Jesus for walking on water … coz it means he couldn’t swim…🤣🤣🤣🤣
Wehu nyinyi mpaka Leo hii Kenya imepata nn kutoka USA, munakwenda mbio na dunia wakat hamutaki kua wakweli kwenye maisha yenu😂😂

Dunia ya SASA ni ya utandawazi ishini maisha yenu asilia acheni kudanganya watu muonekane muna Hali nzuri kumbe njaa inatafuna kende zenu
 
Wapi wewe nchi inamiaka 60+ ni kabila mbili Tu ndio zimeongoza hapo alaf unaongea nn wewe 😂😂😂😂😂😂

Yani akili zenu zimeshikwa hvi 😂😂👇👇👇
View attachment 3020151
Boss naona unatafuta pakutokea lakini hautapata.., Kenya sio North Korea republic.., one party state.., hehehe
 
Back
Top Bottom