The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
I'd yako ya teargass imepigwa ban do you know that?These people are confused. They seriously believed they're the boss and can twist us the way they want with their maize stuff. I remember telling people here that the buyer is the boss hawakuskia. Sahii wanalia eti tuko na protectionism. Watajua nani ndio boss.😂😂😂
Cc. Geza Ulole
Pole sana.Asante kwa TBT
Kafie mbelePole sana.
Kaumia ☝️ ☝️ 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kafie mbele
Miaka miwili baadae wao ndiyo wanapambana kwenda WC, tukiwaambia sisi ni footballing nation hawataki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
But overall mauzo ya Maize yameongezeka mwaka huu maradufu without your market.Vumbistan is a hostile state, mlileta wenyewe policy kwamba Kenyan traders wasinunue mahindi directly kwa wakulima mpaka watumie local company, matokeo yake ni Maize imports from Tanzania decline sharply.
Hapana hiyo ni Gulfstream viongozi wote wa juu wanaweza kupanda Raisi na makamu fokker imekaa kama bichwa ngombe hapo mbele wanapanda viongozi wa chini tuu.Hii ni Fokker mkuu, Gulfstream anapanda president pekee.
Tanzania is like water you cannot avoid it. Your fate is on our hands.Kwa demand yenu ndogo ya umeme, tenasco walidhania Kenya tutaingia makubalianao kukunua huo umeme lakini tukaenda Ethiopia. Sasa mmebaki na umeme usio na kazi, wazungu wanaita miradi Kama hio White Elephant!!
-The current maximum demand was recorded in August 2023 at 1,482.80 MW
Kwamba fokker imekaa kama treni ya Kenya 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hapana hiyo ni Gulfstream viongozi wote wa juu wanaweza kupanda Raisi na makamu fokker imekaa kama bichwa ngombe hapo mbele wanapanda viongozi wa chini tuu.
Hio haituhusu, cha msingi tunapanua balance of trade na vumbistan.But overall mauzo ya Maize yameongezeka mwaka huu maradufu without your market.
Tukinunua umeme vumbistan naondoka JF.Tanzania is like water you cannot avoid it. Your fate is on our hands.
Huyu ndiye 👇 mnamtegemea kwa umeme 🤣🤣🤣🤣
Ethiopia’s power deficit push Kenya to mull deal
There’s a sizeable electrification deficit, resulting in widespread outages and low access to rural areas.www.theeastafrican.co.ke
coodip1 msenge mbona umekimbia, huwezi tetea hoja yako😅😅😅Proves to us kwamba our debt to GDP ratio imefika 90% niondoke JF. Meanwhile Tanzania ratio imefika 46% na inapanda kwa mbio.
Tanzania ni kama maji kwenu, usipomuoga utamnywa.Kwa demand yenu ndogo ya umeme, tenasco walidhania Kenya tutaingia makubalianao kukunua huo umeme lakini tukaenda Ethiopia. Sasa mmebaki na umeme usio na kazi, wazungu wanaita miradi Kama hio White Elephant!!
-The current maximum demand was recorded in August 2023 at 1,482.80 MW
Nime save comment yako, alafu wewe kima usitafute sababu ya ku left jf, mbona mlisha sign mkataba wa kuuziwa umeme na Tz? Hujui hilo au unajifanya mwehu?Tukinunua umeme vumbistan naondoka JF.
Nyinyi mnaiogopa sn Tanzania mnajua, na shida yenu ni roho mbaya, sasa kuna vitu ni vya lazima hata ukiwa na roho mbaya lazima uje utake usitake.Kwa demand yenu ndogo ya umeme, tenasco walidhania Kenya tutaingia makubalianao kukunua huo umeme lakini tukaenda Ethiopia. Sasa mmebaki na umeme usio na kazi, wazungu wanaita miradi Kama hio White Elephant!!
-The current maximum demand was recorded in August 2023 at 1,482.80 MW
Hututaki upumbavu, mwaka huu tunaanza ku tax wakulima. Tunataka mambo yanyooke. Nyie kachukueni tu huko Ukraine, haina shida!Vumbistan is a hostile state, mlileta wenyewe policy kwamba Kenyan traders wasinunue mahindi directly kwa wakulima mpaka watumie local company, matokeo yake ni Maize imports from Tanzania decline sharply.
Na pia hilo bichwa ngombe limekaa kama ndege ya Raisi Kenya 🤣🤣🤣🤣Kwamba fokker imekaa kama treni ya Kenya 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣