The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
๐๐๐๐จ๐จ๐จ๐๐Your EMU has maximum speed lower than Kenyan trains๐๐
View: https://youtu.be/OEShV12SvvI?si=34cIuxvz8pIa2Hv1
๐๐๐๐จ๐จ๐จ๐๐Your EMU has maximum speed lower than Kenyan trains๐๐
Ujenzi kongani ya viwanda vya Korosho mtwara Waanza ๐๐
View: https://www.instagram.com/p/C8MjVnjIvYn/?igsh=MXZvemdnNGlsbG41dA==
Yani kwa MTU mwenye kuona mbali hata budget Yao ni ya uongo ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Tax shortfall was USD 10bn last year. Unrealistic projections ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mama Ngina alikudanganya hvo au sio๐คฃ๐คฃYour EMU has maximum speed lower than Kenyan trains๐๐
Onesha treni yenu ikifika 160 kwenye dash board ya train ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNimepost hizo picha hapa mara mingi and from the dashboard of both trains Kenyan ends at 200km/h while za Tanzania ends at 180km/h๐๐
Huyo mlemavu mafanikio ya Tanzania huwa yanamuuma kuliko kawaida, huwa anaona kama anaumia kuliko wakenya wotee, hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kujitaabisha kushindanisha treni za Kenya na Tanzania? Wenzake wote wanashindwa hata kumpa like ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃAcha kujitaabisha kutafuta solace kubali yaishe tuu mbona rahisi sana kijana wenzako washakubali mziki ila wewe unaumia sana peke yako.
Acheni upuuzi nyie Wakenya na Watanzania wa humu kwanini mnawadhalilisha viongozi wetu, jifunzeni kubishana kwa hoja, please please.......
Acheni upuuzi nyie Wakenya na Watanzania wa humu kwanini mnawadhalilisha viongozi wetu, jifunzeni kubishana kwa hoja, please please.......Ruto and Kenyans
View attachment 3017356
Utafikiri katoa hela zake mfukoni kumbe anatoa amri tu. Hata akitoa hela za hazina zitaenda TRc halafu TRC wanapeleka hazina. Unatoa hela mfuko wa kushoto wa suruali unaweka wa kulia.Nimecheka Sana ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ
View attachment 3017767
Kilichokuchekesha ni nini?Nimecheka Sana ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ
View attachment 3017767
Wakati Mwendazake anagawa mabulingutu Mitaani mbona mlikuwa hamsemi?Utafikiri katoa hela zake mfukoni kumbe anatoa amri tu. Hata akitoa hela za hazina zitaenda TRc halafu TRC wanapeleka hazina. Unatoa hela mfuko wa kushoto wa suruali unaweka wa kulia.
Ushakunywa chai?? Au unapoteza nguvi zako bure tu!! Unafikiri Ruto huyo??? Raisi hana mbele wala nyuma. Sisi huku keki ya taifa kunakula wote.......Nimecheka Sana ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ
View attachment 3017767