The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,970
This whole paragraph is grammatically incorrect, you are illiterate in both English and kiswahili. Yet you want us to discuss complex SGR stuff.ππSo you want us to discuss the language of white people? What language do Kenyans speak? Is it a Kenyan or Kikuyu language?
Watanzania wana maisha magumu hawajui soft life ni nini. πππWashaamza kisema ati wanataka evidence ya kuonyesha ati hiyo ni mikono yanguπππ.
Wamezoea mikono chafu ngumu wanadhani mimi ni kama waoπππ
Unajua maana ya operations au unaropokwa tu?Ethiopia ndio imewakabidhi Sgr ya mchongo ya kwao Leo hii
View: https://youtu.be/L5NgghsAX24?si=I3UqoZJLuD2iBdgf
Kundustan Bado wanalipa loan ya Mchina ππ
Kundustan mumeshalipa loan ya Mchina? ππππUnajua maana ya operations au unaropokwa tu?
Can you write that sentence in Kenyan language? π€£ π€£ π€£This whole paragraph is grammatically incorrect, you are illiterate in both English and kiswahili. Yet you want us to discuss complex SGR stuff.ππ
Hebu tuoneshe soft life ya wakenya tucheke kidogo.Watanzania wana maisha magumu hawajui soft life ni nini. πππ
Kuna usemi wa msafara wamamba haukosi kenge labda atarudi na virobaAkitoka Italy anaenda Switzerland kwenye mkutano wa peace talk wa Ukraine. Huyu ni zaidi ya Vasco Dagama π€£π€£π€£
Umekula lunch ya kshs 4000 umekuwa tembo, π wewe sema tu ukweli, wafanyakazi wenzio walikutuma hapo ukawanunulie lunch. Wewe si ndo watchman wa ofisi. Ulitaka nani aende?Wewe watchman tafuta watu wa kucheza nao. Wakati mwenzako anakula lunch ya Ksh110 mimi nakula za Ksh4050. Ama hii pia nimetengeneza?πππ
View attachment 3016383
Tanzania is a tourist country. Kwa ulivyo mshamba unadhani Tanzania ina Attractions chache kwa za hapo kenya π€£ π€£ π€£ π€£ Mtu anataka azunguke more than 20 Tourist Attractions with 2 days unategemea atatumia Air Tanzania?Hizi ndio tundege mingi zile huland JNIA. Ndege ndogo za less than 10 passengers. π€£ π€£ π€£
View attachment 3017271
Sisi kiuhalisia sio Waafrica ndio maana, mambo yote ya msingi tuko mbele.βReli yetu ya kisasa SGR itakuwa reli ya tano duniani kwa urefu baada tu ya China; km 40,493, Hispania; km 3,917, Japani; km 3,146, Ufaransa; km 2,735 na Tanzania; km 2,080, ikifuatiwa na Ujerumani; km 1,631, Uturuki; km 1,232 na Finland; km 1,120. Na itakuwa reli ndefu kuliko reli zote duniani kwa nchi zinazoendelea.β β Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha.
View attachment 3017037