Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya ni maneno yanatoka kwenye kinywa cha mtu mpumbavu. 🀣🀣🀣
Sasa wewe pia unaongea? Are you not the person mwenye alikuwa anaringa hapa for eating those low quality rice?

Najua umezoea kula takataka so just chill.
 
Issue ya Marsabit County Tumemalizana kiume 🀣 🀣 🀣 🀣 Msirudie tena kujaribu kujamba wakati mnaugua kuhara
Kwani nilikuwa najadiliana issue ya Masarbit na wewe? Leo pia umepewa lift? Ama pastor alichoka na wewe akakuacha?
 
Do you know the meaning of money circulation?

Hakuna any vehicle brand showrooms Mwanza ama Arusha
How many malls do Mwanza have? I guess ni moja. What about Arusha? Ni mbili.
How many banks are in Mwanza? How many are Arusha?


There’s no day Mwanza and Arusha itawaifikia Kisumu in your lifetime.
 
Sijaiona hii brand Kenya.
 
Usisahau kuwaambia Marsabit ni eneo Kame na one of the poorest counties in Kenya.πŸ˜‚πŸ˜‚
A desert has more GDP per capita than a fertile region with 2.4 million souls and the deepest fresh water lake in Africa. You can't make this stuff upπŸ˜†
 
Nilikutambieni kwasababu most of you can't afford mbuzi wewe.. unataka hadi nikila shawarma nipost humu.? πŸ‘‡View attachment 3015348🀣🀣🀣
Sasa smocha ya 80 bob na coke ya 30bob ndio unapiga nayo kelele hapa? In summary umekula lunch ya 110 na I’m the person in charge of that bill is the owner of the other plate.

Wewe kila siku unakuanga vitu cheap and substandard and to make the matters worse unajua kuringia watu huku. No wonder kila mtu anakuita maskini.
 
A desert has more GDP per capita than a fertile region with 2.4 million souls and the deepest fresh water lake in Africa. You can't make this stuff upπŸ˜†
🀣 🀣 🀣 🀣 Stori nyiiingi kama kawaida yenu.
Hawa ndio unawaita wenye GDP kuwa zidi kigoma 🀣🀣🀣🀣 πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…