Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Black american ametembelea nchi zote mbili akasema Kenya ina better tourism infrastructure. Hiyo ndio inawauma. Unajua takwimu zao za tourism huwa za kupika. 🤣🤣🤣
Hahahaaaaaa Tanzania hoyeee, wameanza visingizio eti tunapika takwimu, mtalii gani aende Kenya bila kuja Tanzania? Haiwezekani kabisa, hakuna vivutio vipo Kenya vikakosa kuwepo Tanzania lkn kuna vivutio vingi vipo Tanzania huwezi kupata dunia nzima.

Na ndiyo maana mtalii anaweza akaja Tanzania tu bila kuja Kenya, na hiyo ndiyo sababu ya kuwazidi receipts za tourism, lkn pia Tanzania tunapata wale watalii matajiri wengi wao kwasababu gharama za kufanya utalii Tz ni kubwa kuliko Kenya na nchi nyingine nyingi Africa.
 
Usitafute kisingizio cha kuondoka Jf, hizi ni picha za mji ama pori na ziwa??
😅😅😅
 
The fact that there are showrooms there should tell you that Kisumu is way above Arusha and Mwanza in terms of money circulation.

Another Showroom in Kisumu, hapa ni Lexus tu.
View attachment 3015335
View attachment 3015336
View attachment 3015337
Money circulation kwa biashara ipi we mpumbavu wewe.? 🤣🤣🤣 Mwanza ni capital of lake zone (the reason TZ's SGR imepelekwa huko), Arusha in the other hand is a world's safari capital and the world's home of Tanzanite game stone.. unaongelea hela kisumu kwasababu ya showroom.? 🤣🤣🤣 fala kweli wewe. Tena ukome kuzitaja Mwanza na Arusha in the same sentence na hiyo kijiji kipoison.
 
Aloo kumbe Kigoma inakimbiza mpaka Kisumu, ckuwa najua aisee, kweli jamiiforums ni chuo cha maarifa 😍😍❤️❤️🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥
 
Rice zenye tunaimport from Tanzania ni za wafungwa. All high quality rice we consume in Kenya are produced locally and Pakistan.
Mchele wa Korie from Tanzania Kenya mnaukubali sana, na kuna Kenyans wana sample kwa ku print mifuko halafu wanaweka mchele wao haueleweki sijui ni wa GMO ule? kulikua na hio kesi, waKenya wanalalama wanalishwa Korie fake, wanataka OG kutoka Tanzania.

Labda nikuibie siri tu , Hio Korie yenyewe sisi huku tunalisha wafungwa nyie huko ni masonko ndio wanakula.
 
Kwani Kigoma kila barabara ni ya vumbi na matope?😂😂
 
Welcome to the game. Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…