Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Heehe umeumizwa na moyale, chakula atoe wapi in the middle of a desert!?Moyale alikosa umeme, chakula, guest house kama Choo na ufukara wa wakundustan kila meter, actually mlimuibia hata snacks mlivyo mafukara
View: https://youtu.be/c_xkmHDmQp0?si=vYY-WC_pcuRR5Evl
Moyale CBD 😂😂😂Nionyeshe kwa hiyo video sehemu ya Moyale inayokaa hivi. 🤣 🤣 🤣
Kwamba hii sio Kigoma? Au?Mmeleta video ya Mzungu wenyewe alafu nimewaumbua mmeanza kutafuta vijipicha vengine online vilivyopigwa na Mbongo anayejaribu kuinua image ya Bongo mtandaoni. Nitolee picha kwa video ya Mzungu ambayo inaonyesha Kigoma ikiwa bora kuliko Moyale.
Karne hii bado kunawatu wanasherehekea umeme, maisha magumu sana... Cheki 6 lanes 1200km from Mombasa 😅😅😅😅I can see electric poles, definitely they are everywhere, ukichukua umbali kama kule Kenya from Nairobi unapata watu wanakula mizoga, hakuna umeme wala maji, tumewaacha mbali sana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hizi picha za mwaka gani? Kawaida ya Wabongo huwa hamuwezani na mjadala. Nimekuuliza unionyeshe kwa hiyo video ya Mzungu mliyoileta hapa wenyewe wewe unatafuta vipicha vya miaka zile mtandaoni. 🤣 🤣
Tunatumia maoni ya mzungu. Si mmemleta wenyewe? Mzungu hachagui chagui sehemu nzuri au mbovu kuonyesha. Anaonyesha bila kubagua.Kwamba hii sio Kigoma? Au?
View: https://www.instagram.com/reel/C7qcVbaNr5T/?igsh=MXdwMnhwdTdobmRxaA==
Hamna uwezo wa kujilisha hata theluthi bila vitu kama hiviTukitaka mpunga safi tunakula wa mwea first grade sio huu wa plastic, maisha magumu haya🤣🤣🤣 View attachment 3015188
Kaumia huyo, ndivyo walivyo wakibanwa wanakimbia google Kuleta picha za zamani za kale 😅😅😅😅Hizi picha za mwaka gani? Kawaida ya Wabongo huwa hamuwezani na mjadala. Nimekuuliza unionyeshe kwa hiyo video ya Mzungu mliyoileta hapa wenyewe wewe unatafuta vipicha vya miaka zile mtandaoni. 🤣 🤣
Sio mimi nimesema, mtafute huyo YouTuber umtolee hasira zako. 🤣 🤣Upuuzi 🚮🚮
Mpunga wa korea huu👇👇😭😭
Roho imekuuma kisawasawa...
Msikilize huyo kwenye hornspeaker anasema wali samaki elfu 1 wali nyama elfu 1, Kunyaland mtoe wapi wali mwingi hivyo na nyama kwa kes 49?Mpunga wa korea huu👇👇😭😭View attachment 3015210
Mpunga wa Korea na samaki wa China huo hata bure siwezi kula 😅😅Msikilize huyo kwenye hornspeaker anasema wali samaki elfu 1 wali nyama elfu 1, Kunyaland mtoe wapi wali mwingi hivyo na nyama kwa kes 49?
View: https://youtu.be/sIpzkACnoAw?si=T_8zoED5ew0CzdXM
Hasira hizi, jifunze kukubali mambo huwezi badilisha 😭😭😭
Msikilize huyo kwenye hornspeaker anasema wali samaki elfu 1 wali nyama elfu 1, Kunyaland mtoe wapi wali mwingi hivyo na nyama kwa kes 49?
View: https://youtu.be/sIpzkACnoAw?si=T_8zoED5ew0CzdXM