Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajisifu mna viwanda vingi vya ku assemble buses, kwanini hizo fedha msianze kutumia kufanya assembling za tractors mlime mpate chakula? Muwakope na wakulima?

Anzeni kufanya kilimo cha kisasa, nchi yenu ni jangwa, yani Kenya ukila wali na nyama ni anasa..

Bus haziwasaidii chochote, Chinese wamevamia hio fani.
 
Sisi hapa nyumbu tunatengeneza engine na vitu vingine by 90% only 10% huwa impoted.
 
Hawana hata hayo mabasi. Mwambie akutajie 10 companies za basi. Utacheka.
 
BUses za putt?
 
Wewe mwenyewe Jux hakujui, utamuongeleshaaje mtu hakujui. Usijifanye kuwa na umaarufu ambao huna. Huu upuzi wenu wa kuabudu celebrities sisi huwa hatuna. Turudi kwa mjadala. Hivi unajua E-Class ya 2023 inavyokaa? 🀣 🀣 🀣
Ikiwa TID tu kaja kwenu mkamshobokea mpaka too much, msanii ambaye huku kwetu hatuna habari naye lkn kwenu ni dhahabu.
 
Hapana huoni nimejiunga kabla jf kabla yako?
Mkuu wewe hawa wakenya huwajui vzr, hawa ni zaidi ya washenzi, wakati hii battle inaanza sisi watanzania tulijua tuna battle na watu waungwana na watu wazima, lkn kadri muda ulivyokuwa unakwenda tukagundua tunajadiliana na washenzi mbwa kabisa, hawa jamaa sio wastaarabu kabisa, jaribu kuangalia mijadala yao kule X ndio utajua tabia za wakenya. Sio wastaarabu na wana maneno ya kishenzi sana, hapo na sisi ikabidi tuanze shombo ili twende nao sawa.

Angalia hapa maneno yao dhidi ya mtanzania πŸ‘‡πŸ‘‡

Angalia na comment hii hapa πŸ‘‡πŸ‘‡
Wueh. Sikuona. Unasema anaishi kama chokoraa. 🀣 🀣
Je, watu kama hawa unaweza kujadiliana nao kikawaida kama unavyosema wewe? Hawa watu hawako matured, na ndiyo wanaishi hivyo huko kwao mpaka rais wao wanamtukana tu wakidai hiyo ndiyo demokrasia, hata viongozi wao wanatukana hadharani kabisa, so hawa ndiyo watu tunajadiliana nao humu.
 
Meli hata bado haijamaliza 1 year and already paint ishaanza kupeel offπŸ˜‚πŸ˜‚

 
Sa unataka kulia ju tumekuambia ukweli. 🀣 🀣
Nilie kwa lipi huyu ndio kondoo anaejua magari πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ kaka na speed zote za nn SASA, aibu gani hii

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…