Hio sio Maybach, ni badge na kits tu ndio wamebandika. Nimekuambia Maybach hio dirisha ndogo haifunguki na mlango wa nyuma ju gari yenyewe hua refu.Na hii sio maybach au sio 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View: https://www.instagram.com/reel/CvRcfBaNrLi/?igsh=cGhkYWZtaGdoaDV2
Pumbavu wewe 😅😅😅😅😅😅😅😅Hio sio Maybach, ni badge na kits tu ndio wamebandika. Nimekuambia Maybach hio dirisha ndogo haifunguki na mlango wa nyuma ju gari yenyewe hua refu.
This car is not in Tanzania and this place is also not Tanzania.Yani MTU hajui kama maybach ni s class
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yani wakenya mumeona muniletee Yule zwazwa abishane na mm kwenye magari serious
View: https://www.instagram.com/p/CxWNKvbttZD/?igsh=YzJseXBrZHdheGpy
Nakuonesha how maybach ni s class 😅😅This car is not in Tanzania and this place is also not Tanzania.
Full time results?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 gari inamilikiwa na msanii WA kawaida Sana Tanzania na sio mwanasiasa wao kwao wamezoea mpaka mwanasiasa fisadi ndio anauwezo wakumiki gari Kali, hakuna MTU Mombasa anamiliki gari Kali Zaidi ya joho na familia yake, drug dealers tycoon
View: https://www.instagram.com/reel/C6x1_5JtKiv/?igsh=MXhhMW1rODE4enI5eA==
Vijamaa havijui kuhusu magari na vipo busy kubishana na mtaalamu wa hizo kazi. 🤣🤣🤣 Pole kaka kwa kuchalenjiwa na wapumbavu.Pumbavu wewe 😅😅😅😅😅😅😅😅
Unajitia ujuaji na hakuna kitu unajua
Hio unaongelea ww ni S class model, inaeza kua S680,S650, S600, S450, S400 etc
Lemme tell you one thing, Tanzanian celebrities are Kings and Queens of clout hata wao wenyewe husema hivo. Kuna wakati some big wig in their entertainment industry alisema kitu wanamuziki wao wameshindia Kenya ni clout. Ushawai jiuliza kwa nini wakianza kuonyesha magari na manyumba humu huwa wanaonyesha ya celebrities? The difference in Kenya is most famous people do not show off like Tanzanians do. You have celebrities like Nameless, Octopizzo, Redsan, Jeff Koinange et al who are obviously rich but no one knows what their house looks like or what cars they drive. Hapo bongo hata mtoto wa chekechea anaijua nyumba ya Harmonize na ukimuonyesha atakwambia hii ni nyumba ya Harmonize. Wewe umeona huyo Juma Jux kununua tu E Class ya 2016 tu inakuwa delivered kwa flat bed masherehe hadi champagne zinafunguliwa. Hilo ni gari lenye utapata mwalimu wa shule ya msingi akimiliki hapa Kenya.🤣 🤣Imagine hiyo gari ya 2016 ndio gari mpya zaidi Tanzania. Zingine ni between 1990-2000.
Wewe ngoja tukifika place pa kujadiliana kuhusu kukula kwa kibanda na kuomba wanawake pesa tutakuita.Vijamaa havijui kuhusu magari na vipo busy kubishana na mtaalamu wa hizo kazi. 🤣🤣🤣 Pole kaka kwa kuchalenjiwa na wapumbavu.
Acha ujinga wewe imetumika exchange rate at the time. Mbona hamuitendei haki elimu yenu nyie.Do you know how do currency conversion? Please convert this to dollars. Kenya earned $3.9B from Tourism last year.
View attachment 3012855
🤣🤣🤣Lemme tell you one thing, Tanzanian celebrities are Kings and Queens of clout hata wao wenyewe husema hivo. Kuna wakati some big wig in their entertainment industry alisema kitu wanamuziki wao wameshindia Kenya ni clout. Ushawai jiuliza kwa nini wakianza kuonyesha magari na manyumba humu huwa wanaonyesha ya celebrities? The difference in Kenya is most famous people do not show off like Tanzanians do. You have celebrities like Nameless, Octopizzo, Redsan, Jeff Koinange et al who are obviously rich but no one knows what their house looks like or what cars they drive. Hapo bongo hata mtoto wa chekechea anaijua nyumba ya Harmonize na ukimuonyesha atakwambia hii ni nyumba ya Harmonize. Wewe umeona huyo Juma Jux kununua tu E Class ya 2016 tu inakuwa delivered kwa flat bed masherehe hadi champagne zinafunguliwa. Hilo ni gari lenye utapata mwalimu wa shule ya msingi akimiliki hapa Kenya.🤣 🤣
Report ni ya May 2024 when Dollar to Ksh was 133, now do your calculations.Acha ujinga wewe imetumika exchange rate at the time. Mbona hamuitendei haki elimu yenu nyie.
Yani Leo wameona waniletee Yule zwazwa eti abishane na mm 😅😅😅😅😅😅😅Vijamaa havijui kuhusu magari na vipo busy kubishana na mtaalamu wa hizo kazi. 🤣🤣🤣 Pole kaka kwa kuchalenjiwa na wapumbavu.
Full time results?
Sasa alikuja kuongea pumba gani Huyo zwazwa wenu 🤣🤣🤣🤣🤣Everybody knows that Maybach is S class. Sasa ni nini Unatuonyesha hapo?😂😂
We are still waiting for 2024 E Class in Tanzania.Sasa alikuja kuongea pumba gani Huyo zwazwa wenu 🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe Myemeni wacha nikuonyeshe tofauti ya Maybach na S-Class maanake ni kama magari huyajui.
Watanzania wamezoea kununua vitu fake achana nao. Kwanza huyo Myemen ndio sasa ako zero kabisa kwa mambo ya magari.Wewe Myemeni wacha nikuonyeshe tofauti ya Maybach na S-Class maanake ni kama magari huyajui.
S Class
View attachment 3012907
Maybach
View attachment 3012911
Uache kujifanya unayajua magari wakati hakuna kitu unajua.
Wee kijana mdogo, kuna kitu kinaitwa model year. Model year ya hili gari ulilopost ni 2016. E-Class zote zilizoundwa between 2016 - 2023 zinaitwa 2016 model. Hakuna E-Class model 2023 hapo. Zote manufactured and sold in 2023 ni model 2016. The latest model ni 2023 first sold in 2024. aAmbalo ulipostiwa awali lipo Kenya. Hilo la Juma Jux ni 2016 model. Nilikukuwarn uwache kuingilia mijadala huelewi hukuskia. Huyo Myemeni mnayeita gwiji wa magari ni mpumbavu anadhani S-Class na Maybach ni same thing.Ulifanya research na ukashindwa kuhua kwamba gari ya Jux ni Mercedes-Benz e class 2023.? View attachment 3012893🤣🤣 hujui kitu kuhusu magari na still unataka kukosoa gari za wenyewe, halafu eti wewe ni engineer 🤣🤣 mpumbavu wewe. Hii hapa