Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Kumbe imewauma Sana πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


View: https://youtu.be/5VkRRJANS8c?si=wUzLiqztjg_Oqubk
Nini inatuuma hapo? Ama unasahau we also produce buses kama hizo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

Waganda wanajua vizuri hawaezipata soko Kenya and that’s why wamekuja to Tanzania, a land of lazy people.


View: https://x.com/BasiGoKenya/status/1758046621479170468
 
Alaf zimeuzwa ngap so far ?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na hii ni kampuni ya mchina 100%, kwani kwenu kuna kitu hua kina work??

Usiumie basi plz πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


View: https://youtu.be/5VkRRJANS8c?si=wUzLiqztjg_Oqubk
 
Leta ushahidi ni fake nifunge ACC sahii🀣🀣

Kama ulikua hujui youtong ndio bus company kubwa duniani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bus mnauziwa Ksh 9M. Hiyo hata matatu imeshinda kwa beiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Youtong mnauziwa refurbished/fakeπŸ˜‚
 
Bus mnauziwa Ksh 9M. Hiyo hata matatu imeshinda kwa beiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Youtong mnauziwa refurbished/fakeπŸ˜‚
Basi mchina ni over 450M TSH unasema 9M unaakili timamu wewe 🀣🀣🀣🀣🀣, huku watu wananunua 0km
 
Leta idadi hapa tupige hesabu plz πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…
Mbona inlets idadi na kuna picha. Be ready to countπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

The first E9 Kubwa delivered to City Hopper and Supper Metro.

 
Basi mchina ni over 450M TSH unasema 9M unaakili timamu wewe 🀣🀣🀣🀣🀣, huku watu wananunua 0km
Hizo buses ni 9M. Taxes ndio zinazifikisha huko, but in real sense Mchina anawauzia buses at Ksh9MπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizo buses ni 9M. Taxes ndio zinazifikisha huko, but in real sense Mchina anawauzia buses at Ksh9MπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Narudia kukwambia bus ya mchina inaanza 450m TSH whether u like it or not 🀣🀣🀣🀣

Na ukweli hautabadilika na bahati mm nawajua owners wengi wa bus so huna chakunidanganya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Narudia kukwambia bus ya mchina inaanza 450m TSH whether u like it or not 🀣🀣🀣🀣

Na ukweli hautabadilika na bahati mm nawajua owners wengi wa bus so huna chakunidanganya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
The latest fake Youtong bus which is still not available in Tz is Ksh14M. Hizo zenye mko nazo which mostly are refurbished are 9M.
 
Alaf fatilia hzo bank owners DTB ni India, stanbic sio yenu, prime bank sio yenu, ABsa sio yenu, standard chartered sio yenu etc

Ndio ajabu yenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hizo banks zingo bongslum pia, mbona haziko hapo? Hamna pesa. 🀣🀣🀣 Huna hata aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…