Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
narudia, Dar fananisha na Mombasa...sio Nairobi...dar ni mji uliojaa wapangaji wa 1 bedroom pale city center kisha mnalia lia ati density...Unadhani dar kunaweza kuwa na ujinga kama huu katikati ya mji. Only in Nairobi.
View attachment 645020
View attachment 645019
Daraja la mita mia tano? You must be a new member on these forums...Kenya has structures you'd dream of young man. Ask around and probably peruse this thread's previous posts.
Mje dar sio mbali, mtapapenda mno sure nakwambia, watu wengi huishi mbali na mijini kabisa,Maeneo mengi ambayo huishi watu uko town ni hawa rangi nyeupe Indians na waarabu kwenye national housing,ni waswahili wachache sana huishi uko mijini kwenye yake maghorofa,leo umekasirika sana brother...lakini mambo ya kutuimbia density density kumbe ni nyumba za kukodishia watu uwache....ππππmnaishi kama nguruwe pale city centre hakuna mpangilio...watu wa ofisi wamechanganywa ktk nafasi moja na mahustler kama ww hapo kisha unaimba imba ati density...πππ
best my foot.....The best hospital on Southern of Sahara, outside of South Africa
hizo "estate" zenu za manzese are 300km square of armaggaedonian poverty...kibera is only 3 km sqUku tunapiga kelele na vijana wa kibera. ..manzese is better ,Tandale[emoji23][emoji23]
3 km with 2.5 million people ππππ huoni ajabuhizo "estate" zenu za manzese are 300km square of armaggaedonian poverty...kibera is only 3 km sq
Eastlands kuna kariakoo ishirini hivi plus....hatujaguza Thika road estatesdensity density kumbe mji ni estates wameweka karibu na TPA na PSPF...kisha wanaimba imba et density...pwahahaha...teh estates of Nairobi are not even ten kilometers from city center...
Akikuonesha tu nitagππππZiweke hapa tuone. Ukiweka naenda kulala.
Now question come how can 3kmsq accommodating 50%of it city pop ?hizo "estate" zenu za manzese are 300km square of armaggaedonian poverty...kibera is only 3 km sq
Muhimbili inafanya medical procedures sawa na Karen Hospita or Nairobi Hospital, KNH is equivalent to Bugando Hospital, ukibisha ninakuletea evidencesbest my foot.....
The perfect example of zero brain human being[emoji23][emoji23]Daraja la mita mia tano? You must be a new member on these forums...Kenya has structures you'd dream of young man. Ask around and probably peruse this thread's previous posts.
Tuoneshe plz πππ lini mutafkia hii levelEastlands kuna kariakoo ishirini hivi plus....hatujaguza Thika road estates
kama tu umoja phase 2 hapo manyanja roadHongkong density opps sorry bro dar es salaam
View attachment 645018
hahaha kariakoo can qualify to be an estate in eastlands......na maybe upangaasante kwa hasira nugu....πππ ukweli ni kuwa hio density hapo Dar ni kwasababu ya estates...yaani estates ziko tu karibu na city centre...Pwahahahahaππππ nikileta buruburu hapo KICC haina tofauti na hio Dar mnalia lia density densityππ
Leta picha basiπππ blah blah waachie mademkama tu umoja phase 2 hapo manyanja road
no wonder the whole city ni hiyo radius ndogo....the rest 90% ni uswazi unyamweziniDar ukishatoka kazini pale tpa unatembea tu mpaka kwako hapo Kariakoo...πππalafu wanaita density...kumbe wamechukua estate kama buruburu, githurai wakaweka karibu na city centre...kisha walia lia eti density...