Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha hata hujui simple protocols, next time ukiona Rais kakaa peke yake kwenye hiyo sitting plan ya boardroom na kuna bendera 1 tu ya nchi yake nyuma yake ujue huo ni mkutano wa subordinates wake au juniors na akiwa kwenye official international visit tunasema she hold a meeting on the sidelines of her official visit so technically hiyo ni meeting ilioandaliwa na embassy ya Tanzania nchini Korea, unaonekana kituko and donut unavyolinganisha na presidential bilateral meeting? πŸ€”πŸ˜

 
INA- TUNA-TUTA πŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nipatie maelezo hapa

In 2019, Kenyan President Uhuru Kenyatta, on his fourth trip to China, failed to secure $3.68 billion to fund the third phase of his signature SGR project to extend to Kisumu, then on to Malaba. Instead, Kenya bagged some $400 million to upgrade its 120-year-old metre-gauge-railway to Malaba on the border with Uganda.
 
Sijibizani na mtu anayepayuka bila data. Onyesha tourist arrivals ya kenya vs Tanzania na pia earnings
 
🀣🀣🀣 wewe ndio zuzu kabisa. Baada ya hizi ziara Tanzania imekopeshwa 2.5 billion dollars while kundurenda hamnazo mmepata 400 million dollars 🀣🀣🀣 sasa kuwekwa kwenu kwenye mega na wakorea wengi kuna maana gani.?

Hii ni kama ile case ya juzi kati, ndugu yako aliomba aonyeshwe bendera ya Tanzania mlivyoshiriki huku πŸ‘‡kumbe washindi wa hili shindano ni sisiπŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£..

Wonderful enough unawaita low IQ 🀣🀣🀣
 
Uswazistan katika ubora wakeπŸ‘‡πŸ™ŒπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwani hawa wakunya wanajua International relations and diplomacy basi ni watu wa kuungaunga tuu ndio maana Internationally hawana msimamo.
 
Uswazistan katika ubora wakeπŸ‘‡πŸ™ŒπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…View attachment 3009292
Sasa umezungushia kitu gani mdogo wangu. Naona unaendelea kuchanganyikiwa.
Tueleze kwanza hiki kituko πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

In 2019, Kenyan President Uhuru Kenyatta, on his fourth trip to China, failed to secure $3.68 billion to fund the third phase of his signature SGR project to extend to Kisumu, then on to Malaba. Instead, Kenya bagged some $400 million to upgrade its 120-year-old metre-gauge-railway to Malaba on the border with Uganda. 04 May 2024
 
Ndivyo mulivyodanganywa na UDSMπŸ˜ƒ
 
So Leo imekuwa sio mtumba tena ni brand new plane au sio? Mana hiyo price tag ni ya ndege mpya, wakenya mna wivu wa kike sn dhidi ya Tanzania, alafu koma kulipa jina shirika letu, sio ACTL ni ATCL mbwa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…