Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na ndio maana ACTL haijawai pata faida tangia 1970..
Na hizo multiplier effects pia hazionekani uswazistan,
-JNIA handles 1/3 of JKIA passengers
-Precision Air( KQ subsidiary) is gaining grounds on ACTL routes in uswazistan
- Tourists arrivals are lower than
Kenya
- JNIA handles 1/4 of JKIA cargo
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Elimu ya uswazistan ni ya kuchekwa..
Kwa hivyo bila maneno kama "loan" basi deals haziwezi kufika billions.
Vipi kuhusu huu uwanja kutoka king of Morocco mjini Dodoma
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Watanzania wa Bongo Movie Wapo Korea kwa kazi ya kuboresha Movies za Kitanzania. Ruto kaenda kupokea msaada wa mchele 🀣 🀣 🀣

Jana nilipata bahati ya kutembelea Ofisi ya KOICA kwa ajili ya maelezo zaidi ya muendelezo wa masomo ya Filamu na michezo ya jukwaani . Mafunzo haya yalianza mwaka jana na yanatarajiwa kumalizika mwaka ujao. Pichani pamoja nami ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Dkt Kiagho kilonzo na Mkurugenzi wa KOICA nchini Bw. Manshik Shin.




View: https://www.instagram.com/p/C7YpMAFti6a/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
 
Yaani bado tu akili za hawa mbwa zimeduaa😡😱😱.,

Tazama low IQ vile zimedharauliwa na waKorea wanawatumia watu wanne, mbele ya Rais wenu na nyie mazuzu mmejazana kwa room kishenzi..,


Tofauti na Kenya Wakorea ndio wengi, Rais wa Korea na watu wakeπŸ‘‡πŸ‘‡, mtatii, makapuku nyie..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…