Ruto kaenda kusaga 200m ksh kukodi ndege kutoka Dubai, si Bora hio pesa angewapa kq akakuza biashara ππππππUnaijua loss ya kupark dreamliner kwa miezi nane Malaysia??
Ama loss ya kwenda na 787-8 dreamliner south Korea kwa siku 5.
ππππππ
Another road without markings and road signs.View attachment 3008381
Very clean.. Mwingine anasema kigoma inakaribia kisumu..
Mkapa pia tulitoa pesa nusu.This is bogus, Tanzania tunalipia sio msaada, msaada ni mkapa tu.
Ujenzi unaendelea wewe mbwa Koko wa kisumuWako wapi watu wa kulia render ..π€£π€£β¦ selective memoryβ¦ huh?β¦ ππ
Sawa bongolala. Wakenya wengi ni fukara ila hawafiki 28 millionHakuna siku simu yako imejaa, alafu kitu kingine hakuna simu ya maana ikawa na double line, wakenya wengi ni fukara.
Narudia tena Manyara ilikuwa ni landslide sio mafuriko barabarani kama kwenu kwa sababu ya kukosa drainage systemKima ni wewe.. Pumbavu wewe... Hapo ni wapi? Hiyo bus ni ya wapi... View attachment 3008815
Toa upuuzi wako hapa elimu ndogo inataka kuelimisha elimu kubwa. Floods ni floods na landslide ni landslide sisi tunaongelea mafuriko barabarani kwaajili ya kukosa drainage system wewe una leta landslide unaakili kweli wewe au unajifurahisha ili tufanane?Floods and landslides are somehow related they're like families.. Whenever there's floods due to heavy rainfall and the place is on a low land expect the raised land saturated soil to come down on you.. If the land above is exhausted expect the soft soil coming down the low lands... Mtafunzwa hadi lini??
JKIA Airport haiwezi shindana na Airport yoyote hapa Tz. All our airports are modern and are being modernised.Terminal 4 abeid Aman karume international airport π₯π₯π₯π₯
View: https://youtu.be/f6bUGjP5CrU?si=w3oS9lZEe3EQd9zh
Anasema ana mabwana zake uarabuni wanemlipia π€£π€£π€£π€£Ruto kaenda kusaga 200m ksh kukodi ndege kutoka Dubai, si Bora hio pesa angewapa kq akakuza biashara ππππππ
Yani akili haiwezi kukaa kwenye makalio
Hata mkapa serikali ilitoa pesa china walijazia tuu 20m dollars wakati huo dollar ilikuwa 900 hivi na uwanja uli cost 56bn shillingsMkapa pia tulitoa pesa nusu.
We maku TZ atutumii isuzu zenye chases za lori kwa kusafirishia watuBuses za kenya zinajulikana na za tz ni za kawaida so nashanga unakana na huko palikotokea madhara ni tanzania ambapo picha hiyo ilichukuliwa
Kama kalipiwa kweli basi ujue tayar ni kilema WA kiungo Fulani maana hakuna cha bureππAnasema ana mabwana zake uarabuni wanemlipia π€£π€£π€£π€£
Kama kwenda south Korea kwa Siku 5 ACTL imekula hasara ya millioni ksh 80 or tsh 160,Ok ime kua ground kwa miezi 8 Kwan ndege zinamilikiwa na Nani??ππππ
Haya subiri loss ya hzo ndege mbili zenu zilizokua grounded ambazo sio zenu uone loss ya mwaka huu πππ
Tanzania haina cha kupoteza kwasababu ndege ni zake, nyinyi munavyo chakupoteza kwasababu ndege sio zenu na ni lazma mulipe pesa kwa wenye ndege every month mufanye kazi au musifanye KAZI na moja ya sababu ya loss kubwa kq ni ndege za kukodi ππππ