The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Nani aliyesema nyinyi mnajua kingereza? Kwanza jina tu hujui, eti "kiingereza" ndiyo nini hicho?Shida ya inferiority complex mtu akikueleza kitu unaona anabragg. Mnaijeria akiniongelesha Kiingereza na kila mara akiongea sielewi ataniambia shida yangu ni Kiingereza, Mganda akiniongelesha Kiingereza na kila mara akiongea sielewi ataniambia shida yangu ni Kiingereza. Mmalawi na Mzambia vile vile. Sasa sisi Wakenya tumebebeshwa huu mzigo wa kuwa the only country ambayo tunaongea nanyi sana na kila mara tunakumbwa na hili tatizo lenu la kutoelewa Kiingereza kwa hivo tukiwaambia mtachukulia tunabrag. Hutowai sikia Mganda akisema tunabrag juu ya Kiingereza maanake yeye tukiongea Kiingereza tunaelewana vizuri. Shida ni hapo kwenu. 🤣 🤣
Hakuna ushahidi wowote kwamba mkunya alibuni chochote huku Tanzania, lkn hata kama ingekuwa ni kweli shida iko wapi? Kubuni sio kujenga, haihitaji elimu yoyote kubuni jengo, sisi huku mafundi wengi wanabuni majengo makali na hawajaenda shule, kama kweli mkenya alibuni hilo jengo ni mambo ya 10% lkn wabunifu na mafundi ni wengi mno, no wonder wakenya wameona wachukue mafundi kutoka Tanzania kujenga nyumba zenu huko nowadays.Hivi unaitaji kiingereza kubuni hili jengo? 🤣 🤣
Hutaki auuEti mijoka 🤣🤣🤣.
Ulisikia wapi mcheza rugby akawa mwanamichezo tajiri duniani. Hao wacheza rugby wenu baadhi yao wanaishi kibera na kwenye ma slums huko Nairobi.Most ignorant statement of the year .. and that’s an understatement!….. you are dumber than a bag of hammers…😂😂😂
Tuoneshe prize money tucheke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uzuri na zinafanya kazi!Meter gauge hujaitendea haki mkuu ni over 3000km
Dar Mwanza 1200km, branch ya Kigoma from Tabora 600km, branch ya Kaliua mpanda from Tabora 400km Dar Arusha 700kn
Kweli mkuu nimegundua.Meter gauge hujaitendea haki mkuu ni over 3000km
Dar Mwanza 1200km, branch ya Kigoma from Tabora 600km, branch ya Kaliua mpanda from Tabora 400km Dar Arusha 700kn
Oneni huyu. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hakuna ushahidi wowote kwamba mkunya alibuni chochote huku Tanzania, lkn hata kama ingekuwa ni kweli shida iko wapi? Kubuni sio kujenga, haihitaji elimu yoyote kubuni jengo, sisi huku mafundi wengi wanabuni majengo makali na hawajaenda shule, kama kweli mkenya alibuni hilo jengo ni mambo ya 10% lkn wabunifu na mafundi ni wengi mno, no wonder wakenya wameona wachukue mafundi kutoka Tanzania kujenga nyumba zenu huko nowadays.
joka still wobbling with zero economic sense
Hizi building huko nyuma zishaparara na kuzeeka within less than 10years!!!
Nadhani macho yako yameathiliwa na vyakula duni. 🤣 🤣 🤣Hizi building huko nyuma zishaparara na kuzeeka within less than 10years!!!
Unaota.. Amka haraka kabla ukojoe..Kigoma can challenge Kisumu anytime na ikaipiga kabang
View: https://www.instagram.com/reel/C7qcVbaNr5T/?igsh=MXdwMnhwdTdobmRxaA==
Huu uwanja unamyima usingizi Mama Ngina.
View attachment 3007324
View attachment 3007330
View attachment 3007331