Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

angalia nimesema mwaka upi? kisha nikuulize tuko mwaka upi?😀😀😛😛
Ziko wapi maana yake wapi wanajenga au kama huna endelea kupost renders😀😀😀😀 safari hii hakuna kudanganya mtu
 
Yani kuwaambia ukweli kabisa wakenya kinacho wasaidia mnapicha nyingi lakini nairobi hamna kitu cha ajabu. Laiti tungekuwa tunapiga picha nyingi kama nyie mngeshakimbia hapa. Sema tuna vitu vingi vya msingi vya kufanya.
 
Sasa dar kuna nini??????????...mnajiabisha tu..hii ni dar yote nini iko hap¿???????
 
Sasa dar kuna nini??????????...mnajiabisha tu..hii ni dar yote nini iko hap¿???????
Hamji kua na density ya dar miaka 100 mbele,kukaa kupiga kelele za upperhill na westland vimiji vilivyojaa vichaka tu...
deepdown our density is untouchables
 
Nishakukatazaga kutumia tumbo kufikiria.. Nairobi natembea masaa 2 naimaliza yote,, Dar nakupa wiki ukiimaliza Nahamia Libya
narudia tena...dar fananisha na Mombasa...Nairobi haiko level yenu..😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…