Hiyo hapo 👇 we mbuzi au tulete na render ya ndege pia?Tuoneshe renderings za Toyota cars
Huyo ni prison officer sio JWTZ wewe kima.Where on earth did you ever see any military use such nonsense!?
View attachment 3004125
Soma tena taratibu utaelewa vizuri 🤣🤣🤣Wakenya wawili ni miongoni mwa wahandisi 😅😅😅😅
Dah hawa wakunya vp hata aibu hawana 🤣🤣🤣Wakenya bado wanashangilia talanta ya mchina, wakiamka tupo mbali sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3003931
Sasa huu upuzi uliouandika hata wewe mwenyewe unauamini? Ndio maana umeambiwa kila unachoandika kinaonekana kuwa upuzi ndio maana hujibiwi.Professional engineer wa kenya ni sawa na fundi wa kawaida tu huku bongoo 🤣🤣 unadhani unanitisha mimi mpumbavu wewe, kibera walker.?
Na mashaka na elimu yenu soma tena taratibu utaelewa tuu 😁Kajilipua, 😂😂😂😂😂😂
wakenya wanawafungia VAR technology kwani hamuna wahandisi...
Anadhani kwa five star hotel confeence hall ni sofa set ama zi zile viti kama za lecture hall. Kumaanisha hajawai ingia 5* Hotel. 🤣🤣Shida tunargue humu na watu hawana exposure. Watu hawajawai ingia 5* hotel na inaonyesha. Hivi ndio conference rooms za 5* hotels hukaa. Hii hapa ni conference room ya the biggest hotel in Dar. Hyatt Regency Hotel. Nakuombea siku moja utoke kwa umaskini utembelee maeneo kama haya uache kujiaibisha mitandaoni.😂
View attachment 3004057
Wanamatizo hatari , na sijasikia Mount Kilimajaro Convetion Centre ikitajwa kokote .Mimi siungi mikono hii miradi kwa kutumia mafao badala ya kulipa wastaafu huu ni upigaji in making! Kazi za foreign mission si kujiingiza kwenye biashara ya Real Estate!
Badala ya kujenga haya majengo ambayo watashindwa kuyaendesha ni bora wangefufua mradi wa ukumbi wa mikutano Arusha maana AICC imeonyesha uwwzo wa ku-manage kumbi za mikutano.
Wajinga wakina ChoiceVariable ndio wanakuambia eti anaupiga mwingi. Li maza limeturudisha sana nyuma, mno. Inchi inapigwa kila kona, wakina Makamba wamekuja na aina nyingine ya upigaji, mtu aliyeitia nchi gizani. Limeenda huko Korea Kusini kuttutia mideni mikubwa wakati hizo9 fedha zinaishia mikononi mwa wahuni wa CCM.Hii ni aibu kwa uongozi wa nchi na Dart/BRT 😭🥲
Daladala ndo zinaleta folen, daladala hizohizo ndo wanataka kuzirudisha
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1796150525236318449?t=sD7EYRFZ5XJRZztdVo6HUQ&s=19
I can’t wait to hear Bongolalas excuses… Am sure they are salty about this move …Their government knows the lull in their real estate sector hence this move. They know that Nairobi has demand for office space unlike Dar ambapo jengo kama hilo litasyrggle kupata wapangaji.
KnightFrank once talked about it
Hata iwe ni askari wa mbugani. Hiyo ni Ushamba bado. Kwani ni pastor Ng'ang'a!?Huyo ni prison officer sio JWTZ wewe kima.