ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,459
- 89,882
Hata Mimi nakubaliana na wewe,yaani Makamba ameondoa kabisa Mpango wa kujenga ule Ukumbi wa KICC-Arusha na kuja na huu mradi wa upigaji?Mimi siungi hii mikono hii miradi! Kazi za foteign mission si kujiingiza kwenye biashara ya Real Estate! Badala ya kujenga haya majengo ambayo watashindwa kuyaendesha ni bora wangefufua mradi wa ukumbi wa mikutano Arusha maana AICC imeonyesha uwwzo wa ku-manage kumbi za mikutano.
Uendeshaji utaleta matatizo ununuzi tu ww ofisi za Balozi huwa una upigaji sembuae kuwa na majengo ya upangishaji! Ujinga mtupu!Hata Mimi nakubaliana na wewe,yaani Makamba ameondoa kabisa Mpango wa kujenga ule Ukimbi Arusha na kuja na huu mradi wa upigaji
Safi sana hii, bring more uswazistan taxes to nairobi.🙏🏾Usikute ni jengo letu ambalo tunawaje gea hapo Nairobi 😁😁👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C7gm7yYNfzA/?igsh=MTIzZGNxcHhnNThpYg==
Safi sana hii, bring more uswazistan taxes to nairobi.🙏🏾
Huko arusha ndo mtatuaibisha kabisa, kiwanja kinawekwa kwenye pori na nyumba za udongo...Hii itatupea credit sana mkuu.. dunia itapata kujua nani ni nani hapa EA.. kule kwao sijui wageni watarundikana Nairobi tu since wahana kiwanja kingine cha michezo outside their capital city chenye kiko na hadhi ya ku host Afcon.
Ujenzi wa uwanja wa Bukhungu 😁😁SASA tushaelewana kwamba uwanja utamilikiwa na mchina is that clear??🤣🤣
Ulikua unabisha nn SASA, nilikwambia Kenya ilishauzwa kwa wachina haya kiko wapi
Expressway Mali ya mchina
Talanta Mali ya mchina
SGR Mali ya mchina
Avic towers Mali ya mchina
Haya hebu tuambieni mradi unaojengwa na serekali yenu ni UPI so far?? Failed state 🤣🤣🤣
Unatamani iwe hivyo.? 🤣🤣🤣 Arusha kuna nyumba za udongo kwenye mji mpya wowote.?Huko arusha ndo mtatuaibisha kabisa, kiwanja kinawekwa kwenye pori na nyumba za udongo...
Nani Kenya anaeza afford brand new cars ikiwa hata matajiri wanaagiza Japan, ndio maana nikakwambia AVA hufanya kazi kwa order maalum na Hasa mashirika makubwa ya nje ambayo hapo hapo kenya, lakini 99.5% gari wanaagiza kutoka Japan, bado hamujafika level ya mtu kununua gari brand new 😆😆😆😆😆😆AVA wanauza brand new cars, japan watu wanafata second hands. Mibongolala inanunua magari mpaka ya 20yrs old.
Asante mchina (communist)Talanta Stadium under construction
View attachment 3003451
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇So Trains have renders? Do you know what a render is? Kindly show us the render.
Likoni Bridge first render 👇👇🤣🤣Can you name just one project in Kenya that didn't look like its render? And don't come with political campaign posters - those are not renders. I want an actual render released by the lead consultant and the actual structure. Give me just one.
Unless uwe hujawah kwenda kwenye nchi zilizoendelea ukajua maana ya BRT ng'ombe wewe 🤣🤣🤣Hizo bii ara tii zenye mnajazana kama makondoo?
Alafu muko busy munasubiri CAF standards 🤣🤣Finishes on BUNGOMA'S Masinde Muliro Stadium
View attachment 3003448
Huyo aliopewa hio wizara hajawah kufanya vzr kwenye wizara yoyote badal yake huondoka na kashfa mbaya Sana 🤣🤣🤣🤣Mimi siungi mikono hii miradi kwa kutumia mafao badala ya kulipa wastaafu huu ni upigaji in making! Kazi za foreign mission si kujiingiza kwenye biashara ya Real Estate!
Badala ya kujenga haya majengo ambayo watashindwa kuyaendesha ni bora wangefufua mradi wa ukumbi wa mikutano Arusha maana AICC imeonyesha uwwzo wa ku-manage kumbi za mikutano.
Uwanja nzee sana huu.Wacha kutuletea Kasarani ya 2010. Kasarani ya 2024 before viti zingólewe for renovation ilikaa hivi na ziliwekwa stadium nzima.;
View attachment 3003407
Kama wanataka kuongeza Mapato Kwa nini wasitafute wabia huko huko Nje wajenge hayo majengo badala ya kitumia Kodi zetu kwenda kunufaisha wageni,haikubalikiHuyo aliopewa hio wizara hajawah kufanya vzr kwenye wizara yoyote badal yake huondoka na kashfa mbaya Sana 🤣🤣🤣🤣
Au unasemaje ChoiceVariable
Narudia, unajua maana ya render wee Choo boy?
Tuambie hii muliahidiwa na Nani ??🤣🤣🤣Narudia, unajua maana ya render wee Choo boy?
Hivi nyie watu huenda shule zipi? The first image is not a render, it is a photo of an existing bridge - Bayonne Bridge to be exact.Likoni Bridge first render 👇👇🤣🤣View attachment 3003489View attachment 3003490
Likoni Bridge second render 👇 👇 🤣 🤣 🤣 View attachment 3003491View attachment 3003492
Actual likoni Bridge 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 3003493View attachment 3003494
I can post hundreds of infrastructures like these in Kenya if you want, no future in Kenya.
Pembeni yake kuna Lundo la ma slums ukibisha jikune uone 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Have you guys seen the Galleria expansion!? Galleria office suits and Galleria Gardens. Massive and beautiful
View attachment 3003446