Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuoneshe bingwa wa ligi Kenya anapata sh ngp 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Naombeni muskilize hii video anaongea kijana mmoja kutoka Mombasa na ni msanii WA nyimbo zao πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚

Mutagundua mengi ambayo hamuyajui na hawawez kukwambia so far πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Your browser is not able to display this video.
 
Mzizima tower, jengo tamu sn hili πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜πŸ˜πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Alafu chini yake itapita BRT, kama mbele mwanangu ❀️ ❀️ 😘 😘 πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯
 
Hio ilikua zamani SASA hvi bingwa hapati chochote kwao zaidi ya kombe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Asanti sana kwa kujiabisha. 🀣 🀣 🀣 Magari zote hutengenezwa na assemblers ambao wamesource parts from different manufacturing plants. Yani wewe hudhani gari hutengenzwa kama peremende. 🀣🀣🀣🀣
Hebu tuambie hio factory yako yakutengeneza 100% of parts and assembling iko wapi tukucheke. 🀣🀣🀣🀣
 
Yet all employees are Kenyans!!!
Kenya tech Iko next level.
Silicon valley of Africa is KENYA.
No future in Kenya, usijiongopee. Mm nina mshkaji wangu mkewe ni mkenya na mtoto alizaliwa Kenya, now anapambana kumtafutia mwanaye passport ya Tanzania, nikamuuliza si angeacha tu awe raia wa Kenya, mwamba akanichana kwamba hawezi kuruhusu mwanaye awe mkenya, no future in Kenya, but Tanzania iko na future, acha mwanangu awe mtanzania.
 
Usinambie Toyota wenyewe wachukue gari kutoka AVA wakat wao wenyewe ndio manufacturer Yani usiwe mjinga mpaka ukawa kondoo Kias hichoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Toyota wamekabidhi gari kwa polisi wenu kutoka kampuni Yao ya Toyota Japan na sio AVA, AVA Sio kampuni ya Toyota weka akilini hio πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…