REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,675
- 11,690
Uko vyema sana upstairs. Nimeiona ile clip mara kadhaa labda kuna nyingine tofauti, anasema "Nikienda USA nashangazwa na hatua ya marndeleo, lakini China ni primitive. Just sehemu isitokuwa na roof lakini wanatengeneza glass, yap! Tunaweza kufanya haya Africa."Kuna clip aliongelea sababu ya kuwa karibu na China. Alisema, wamagharibi wameendelea sana ki teknolojia, hivyo kufuata mfumo wao wa uzalishaji hakuta kuwa na uhalisia. Miaka ya 60, China iliyokuwa na watu milioni 700 iliweza kujilisha kwa kutumia teknolojia ya plau linalokokotwa na ng'ombe. Hii ilikuwa na uhalisia zaidi kwetu kuliko kutaka kununua mashine za John Deere kulima.
as long as ur top 10 r Tanzanian artists there is nothing true about this map!
Another delusional fake data 🚮
Like the way ur top chart is all Bongo musicians!He got me confused too….. these guys eat , sleep and dream about Kenya 24-7… it’s a crazy obsession.. if Kenya was a dame , she can sue Bongo for stalking..🤣🤣🤣🤣🤣… The United Stalkers Republic of Tanzania 🤣
Soma hapa tumbo likiwa na chochoteContinue striving huku Mama akija Nairobi mara tatu ndani ya mwezi kwa conference
Mnaweza mkaacha huu upuuzi?Mother Tanzania.
View attachment 3001283
Waache watu wachangie kwa uhuru wao. Kama hupendi weka unachopenda mzee.Mnaweza mkaacha huu upuuzi?
Nashukuru kwa kuweka kumbukumbu sahihi, hayo maneno ndiyo nukuu hasa aliyoisema.Uko vyema sana upstairs. Nimeiona ile clip mara kadhaa labda kuna nyingine tofauti, anasema "Nikienda USA nashangazwa na hatua ya marndeleo, lakini China ni primitive. Just sehemu isitokuwa na roof lakini wanatengeneza glass, yap! Tunaweza kufanya haya Africa."
Source Kenya news 🤣🤣🤣🤣🤣Tuliwawon!!
View attachment 3001188
Na halina hata aibu linapost huo upumbavu wake. 🤣🤣🤣Source Kenya news 🤣🤣🤣🤣🤣
Nyinyi mulisaidia nchi gani Uhuru wa Africa ?
Maumbwa nyinyi
Kenya Ni nchi ya kibeberu ambayo haikua na Huruma kipindi cha Uhuru na haijawah kusaidia nchi yoyote Africa katika suala la kupata Uhuru, alaf Leo anatuambia utumbo gani, hawa jamaa nikama wamechanganyikiwa 😂😂😂😂😂😂Na halina hata aibu linapost huo upumbavu wake. 🤣🤣🤣
Mibongolala sikuizi yameishiwa kabisa, visu tunatembeza ni vikali ...Mother Tanzania.
View attachment 3001283
ATCL nasikia imebakisha safari za ndani za kusafirisha korosho. Mwendo wa bajaji 🤣🤣