Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii fantasy inaogopesha.
 
Dar bado Sana kwa Nairobi be honest !
 
Nowadays In terms of political influence.. yes they are..sasa Nani Kati yako na Mimi hajasoma?..🤣🤣
Unaelewa maana hata ya Political influence inatokana na nini? Jeshi tu? What about economy? Wananchi wa Jordan wako na shida kama wenu?

Fantasy zenu zitawamaliza jitu kabisa linashangilia huu utumbo, alafu baadae bila aibu linakuja kutuita "MISAADA REPUBLIC"

wakati wapo hapa kujiosha na misaada ya vyuma chakavu plus overthinking.
 
So unaamini Israel ipo inalindwa na marekani hivyo hivyo Marekani atakuja kuifanyia Kenya eeh?

Punguza Fantasy pokea hivyo vyuma chakavu kwanza, kama vipi kaolewe huko utoke EAC.
 
Afadhali mkenya sensible huyu hapa, naamini hizi rasmali za Tz zingekua kenya now hakingebaki kitu.
 
We nawe uko na matatizo, hii war ya china na USA kwenye Trade ilikuwepo 80s dhidi ya Japan.

Hao USA na West hawaeleweki chukua ushauri wa jamaa yako. Africa bado sana hatudhaminiki sababu hatujisimamii kazi kushobokea nje?

Kuna kampuni yoyote ya Kenya au Tz inaweza pata Mradi wa Trillions shilling huko WEST or USA?

Hizo dili zote USA anafanya kazi ya Kanisa?

Alafu nyie sitashangaa mkipata hivyo vifaa mnaanza vurugu Somalia bila kujali cha EAC ila Tanzania ikijibu mnaleta mambo ya EAC.

Have some spin on your country affairs tafadhali.
 
I envy how naive you are. That is not a joke or a "diss". I once thought the same way you do.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…