Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Obsession with Kenya doesnt end in dar slum, even indians. We are international
 
Myemen anahangaika kweli kweli😂😂😂

ichoboy01 ukipata penye deal ya Mombasa Nairobi expressway ilisigniwa before tag so that I can close my account 😂😂
 
I’m still waiting kuona penye deal ilisigniwa🤣🤣😂
Unafkiri watu ni wajinga buana🤣🤣🤣

Huu sio mradi mgeni kwenu na mpaka Leo munahangaika nao hamuna hata pesa ya kujenga just 1km 👇👇👇

 
Juzi tulitia mkataba na Israel wa Air defense system. From now, US congress haiwezi Ku block tuuzie ndege vita Kama F-15s
Uza nchi kwa America kwa SASA huna pesa hata ya kujenga 1km ya Barabara 🤣🤣🤣

Na hata sishangai ndio maana unaitwa wazungu weusi na bwana wenu ni mzungu mweupe hakuna asiejua dunia hii kua mtawala wa Kenya ni America 🤣🤣🤣
 
Unafkiri watu ni wajinga buana🤣🤣🤣

Huu sio mradi mgeni kwenu na mpaka Leo munahangaika nao hamuna hata pesa ya kujenga just 1km 👇👇👇

View attachment 2997490
Canceled after the contractor (betchel) refused a PPP model like JKIA- westlands expressway.
 
Unafkiri watu ni wajinga buana🤣🤣🤣

Huu sio mradi mgeni kwenu na mpaka Leo munahangaika nao hamuna hata pesa ya kujenga just 1km 👇👇👇

View attachment 2997490
Wapi penye imeandikwa imekuwa signed? Mbona unahangaika?😂😂😂🤣

There’s nowhere that expressway was signed. Th first funding signing was done today by Ruto.
 
Jamaa hajui Kingereza 😂😂😂.

ichoboy01 ameuMia kweli kweli na hiyo signing ya hiyo Expressway😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…