Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 915
- 1,091
We don't study only algebra mzee. Jana niliwapatia papers za TZ. Nikawataka mlete za Kenya but. Mkakimbia. Education system ya Kenya is zero. Based on Mana Ngina ideas.
Mmewahi kutoa kiongozi gani mashuhuri hapo Kenya, hiyo Uganda unayosema wewe Rais wao kasoma Tanzania, nikianza ku list idadi ya watu mashuhuri waliosoma Tanzania mtajiona mlivyo na elimu takataka mbele ya education system ya Tanzania.
Hii yako nayo sii spelling. Hata your grammar is always shit. usidanganyie auto-correct. Alafu ni auto-correct, sii auto-complete. I guess hapo tena utasema ni keyboard.So auto complete ya my keyboard ndio inakufanya uhahe hivyo.
Educated person discuss cotext. Stupid person check spellings.
Kweli wewe ni mjinga.We don't have upili in our country.
We have
1. Primary Education
2. Secondary Education
3. Vocational Training
4. University Education
Our education standard is International.
Hawezi kua rich alaf akawaza kua politician, anaweza kua politician kwasababu anataka kua rich, simple and clear 😂😂😂😂😂That guy is richer aollion times than you myemen. Tena hakuna comedian wa kulinganganishwa naye hapo Tanganyika
Kama hujui secondary school kwa Kiswahili ni shule ya Upili bado utaambia watu umesoma. Kiswahili chenyewe ambacho ni the only thing mnajisifu kujua hukijui sasa Mathematics ndio utaelewa?We don't have upili in our country.
We have
1. Primary Education
2. Secondary Education
3. Vocational Training
4. University Education
Our education standard is International.
Their Parliament is also a product of Kenyan education.A president is not a scholar. Hata Idi Amin hakuenda shule na alikuwa president. Anyone who can convince people to vote for him can become president. Tuonesheni scholars wenu ndio mseme mna vyuo bora sio wanasiasa.
Mimi naweza kuonyesha hili jengo ambalo ni jengo bora zaidi hapo bongoland na ambalo mnapenda kujisifu nalo limebuniwa na Mkenya. Nioneshe kipi hapa Kenya chenye kimebuniwa na bongolala.
Sio Sisi tunaohoji ruto kutumia 200m ksh kukodi ndege ni nyinyi wenyewe munaopelekeshwa kama kondoo😂😂Cha ajabu ni kwamba Samia alikuwa huko just the other day ila hakuna mkemya alishugulika na ziara yake wala kutaka kujua alienda kufanya nini. Lakini watanzania wanafatilia hii ziara ya Ruto and commenting on every post by Kenyans on the same like their lives depend on it. Desperate beings!!
I can see. What’s Cotext ?So auto complete ya my keyboard ndio inakufanya uhahe hivyo.
Educated person discuss cotext. Stupid person check spellings.
Sure, nafahamu watu wengi waliosoma chuo BAC, BPLM nk but sasa hivi wana design mobile apps, website na wapo vizuri kwenye programming languages nyingi tu lakini hawakuwahi kujifunza shule.Brain is a Limitless resource. Unaweza kusoma chochote unachotaka at any age kama wewe siyo mzembe.
Maximize your Potential
The guy is just plain stupid. The only Cosmologist in Tanzania who has a PHD in witchcraft 😂😂🤣🤣Kama hujui secondary school kwa Kiswahili ni shule ya Upili bado utaambia watu umesoma. Kiswahili chenyewe ambacho ni the only thing mnajisifu kujua hukijui sasa Mathematics ndio utaelewa?
Air Tanzania still iko kwenye investment period kwetu wala hatushangai kabisa, bado tunaekeza ndio Kwanza tumefugua airline 2018 lakini ajabu ndio airline inayowanyima usingizi 😂😂😂😂😂😂Unashugulika na ya Kenya wakati kwenu hali ni mbaya hata zaidi
Air Tanzania leads loss-making parastatals despite government investment
ATCL's losses surged by 61 percent to Sh56.64 billion, compared to Sh35.2 billion in the previous year.www.thecitizen.co.tz
Majengo mengi huko kwao wanayojivunia yamebuniwa na wakenya. Ile mall ya Mwanza pia ni Mkenya. Zile HQ za EAC pale Arusha ni Mkenya,Their Parliament is also a product of Kenyan education.
Ndio hii au sio 😂😂😂😂😂😂
Mmekuwa investment period tangu 1977?Air Tanzania still iko kwenye investment period kwetu wala hatushangai kabisa, bado tunaekeza ndio Kwanza tumefugua airline 2018 lakini ajabu ndio airline inayowanyima usingizi 😂😂😂😂😂😂
Kuna hii dreamliner inaingia mwisho wa mwezi huu👇👇 taarifa unayo lakini
View attachment 2997247
He also studied and specialized in Witchcraft 😂😂😂Amesema yeye ni:-
1. IT expert
2. IR expert
3. Mathematician
4. Political scientist.
Yet he's still stupid.
Hakuna watu hawajui hesabu kama wakenya, nyie masomo yenu ni ya arts based on history, hisabati tuachie sisi watabe.Kwa hivo ukisoma Mathematics as a subject shule ya Upili unakuwa Mathematician hadi unajiita gwiji? Based on your idiocy kila mtu Kenya ni Mathematician maanake sote tumesoma Mathematics shule za upili. Ndio maana kila mtu anakuita mjinga humu. Hujielewi.
Hvi ndio source hua munajidanganya nazo😂
Tangu lini watchman akajua Mathematics?Hakuna watu hawajui hesabu kama wakenya, nyie masomo yenu ni ya arts based on history, hisabati tuachie sisi watabe.
Sasa wewe watchman wa airport na hesabu mnaingiliana wapi na wapi?Hakuna watu hawajui hesabu kama wakenya, nyie masomo yenu ni ya arts based on history, hisabati tuachie sisi watabe.
Malalamiko yako peleka CAF na FIFA.Toa uharo hapa. Mnakalia benchi kama zile za movie kiosk za ushagoo alafu mnaita international stadium.