Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 915
- 1,091
Sasa huu uwanja ndio unataka kulinganisha na Bukhungu? 🤣 🤣 🤣Wewe ni mgeni kwenye hii battle.? Haya tumia Google kutafuta CCM stadiums, they all around Tz.
Wewr kibera walker NairobiWalker njoo uone vile Amani stadium ilibadilishwa halafu uache upumbavu wako 🤣🤣🤣Muonesheni hii video zwazwa kipindi cha renovation ila asijue mm ndio nimepost plz 🤣🤣
View: https://www.instagram.com/reel/CycyCQoIYRW/?igsh=MWVscnp4c2pld2ZtZA==
Hii gombani stadium hawajawai kuiona musiwaoneshe iko Pemba 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Maumivu ni makali.? 🤣🤣 kama inauma chomoa..
This is exactly the level of the stadiums you're building in Kenya miaka hii ya 2020's. Now you can get the picture vile jinsi mko nyuma yetu for at least 50 years. 🤣🤣🤣🤣Sasa huu uwanja ndio unataka kulinganisha na Bukhungu? 🤣 🤣 🤣
Alafu nimeuliza 4, unanipa uwanja mmoja ambao umekuwa laughing stock kwa hii thread for sometime. Finaly, uwanja wenyewe haukujengwa 1970s bali 1980s.
Hio picha ya zamani Sana ngoja nikuoneshe video live ambayo mechi imechezwa 2 days ago 🤣🤣🤣👇👇👇👇Sasa huu uwanja ndio unataka kulinganisha na Bukhungu? 🤣 🤣 🤣
Alafu nimeuliza 4, unanipa uwanja mmoja ambao umekuwa laughing stock kwa hii thread for sometime. Finaly, uwanja wenyewe haukujengwa 1970s bali 1980s.
Ndio maana wengi wanakuita mwendawazimu hata hawataki kujadiliana nawewe. Huu upumbavu ulinganishe na Bukhungu kichwa chako kiko sawa?This is exactly the level of the stadiums you're building in Kenya miaka hii ya 2020's. Now you can get the picture vile jinsi mko nyuma yetu for at least 50 years. 🤣🤣🤣🤣
Tofauti ni hayo mabango yaliyozunguka kiwanja. 🤣 🤣 🤣Hio picha ya zamani Sana ngoja nikuoneshe video live ambayo mechi imechezwa 2 days ago 🤣🤣🤣👇👇👇👇
View: https://twitter.com/azamtvtz/status/1791865749356589342?t=zhF3B-DbTKiB-qHpBQY4zw&s=19
Wavumilieni plz Wanaumia Sana 🤣🤣🤣🤣Unafkiri hajui kabisa? Si anajitia uchizi tu 🤣🤣 kijamaa ubishi upo Damuni, kina lazimisha kubadili white kuwa black.
Hebu wait siku hzi kuna running track ya udongo duniani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndio maana wengi wanakuita mwendawazimu hata hawataki kujadiliana nawewe. Huu upumbavu ulinganishe na Bukhungu kichwa chako kiko sawa?
Wewe Myemeni hujui uwanja bado haujakamilika?
Angalia pitch alaf unambie iko sawa 🤣🤣🤣Tofauti ni hayo mabango yaliyozunguka kiwanja. 🤣 🤣 🤣
Mvulana wa chumba cha kuhara, chunga usichizi, huenda ukarudishwa kwenu Yemen na serikali ya Samia Suluhu. Huwezi kuwa mwendazimu kwa nchi ya watu.
Uwanja gani unafanyiwa renovation toka 2013 na nimeskia CHAN wameukataa🤣🤣🤣Wewe Myemeni hujui uwanja bado haujakamilika?
Shida yako ni low IQ. Hakuna rennovation ishawai fanyika Bukhungu, ni ujenzi unaofanywa na phases. 2014 phase 1 ya uwanja ilianza. Ikakamilika 2015. 2021, phase 2 ya Uwanja ikaanza, ikasimamishwa briefly ili uwanja uhost michezo ya shule za sekondari Afrika Mashariki mwaka wa 2023. Late 2023 ndio phase tu imepick na uwanja unatarajiwa kukamilika 2025. Meanwhile tupe updates za Arusha stadium.Uwanja gani unafanyiwa renovation toka 2013 na nimeskia CHAN wameukataa🤣🤣🤣
Hakuna kitu kinafanya vzr kwenu muko fake always 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi pitchpekee ndio unaangalia? Sisi tunaongelea structure wewe uko kwa pitch, pitch ni kitu kinachoweza kutengenezwa hata kwa boma la mtu within 3 months. Huo uwanja ni zizi la ngómbe. Kubalini hamna stadiums. Mwengine huu.Angalia pitch alaf unambie iko sawa 🤣🤣🤣
Uwanja Una 40yrs ago unafananisha na bukhungu ambayo mpaka Leo haujakamilika na bado pesa zimeliwa kibao, nimeona running track ya udongo 🤣🤣🤣
Kwani hujui KAZI ya pitch ni nn au Umeumia kwa vile nimekuletea video live na mechi imechezwa juzi 🤣🤣🤣🤣 40yrs stadium inakutoa kamasi badoHivi pitchpekee ndio unaangalia? Sisi tunaongelea structure wewe uko kwa pitch, pitch ni kitu kinachoweza kutengenezwa hata kwa boma la mtu within 3 months. Huo uwanja ni zizi la ngómbe. Kubalini hamna stadiums. Mwengine huu.
Hiyo stadium hamna tofauti. Pitch kunyunyiziwa maji na kuweka bango ndio unaita tofauti? Hujui hiyo pitch miaka ya 1980s kuna seasons ilinyunyiziwa maji na ikawa hivo? Wacha kutetea visivyo teteeka. Hiyo stadium ni uchwara, Jengeni stadiums.Kwani hujui KAZI ya pitch ni nn au Umeumia kwa vile nimekuletea video live na mechi imechezwa juzi 🤣🤣🤣🤣 40yrs stadium inakutoa kamasi bado
Alaf kitu hujui ni CCM kirumba stadium mwanza inachukua watu 35,000 tafuta stadium inachukua watu wengi kama hao nje ya Ile gofu kasarani 🤣🤣🤣🤣🤣
Naomba nikuoneshe video tena plz👇👇
View: https://twitter.com/azamtvtz/status/1791865749356589342?t=ytBeSHbGUH9QuFHxrsMH3A&s=19
Huu uwanja wenye uko na running truck za udongo 🤣🤣🤣 imagine 2020's mnajenga uwanja wa kipumbavu hivyo halafu mnapost hapa.?Ndio maana wengi wanakuita mwendawazimu hata hawataki kujadiliana nawewe. Huu upumbavu ulinganishe na Bukhungu kichwa chako kiko sawa?