Unasemaje wewe? Ngoja nikubali tu kwa shingo upande kwamba deni lenu ni 54% sasa tuanze gdp ya japani ni ngapibut deni yao ni 250% ya gdp yao..iyo ni fact ata kama wanatengeneza hizo zote alafu deni ya kenya ni 54% sio 60
huna hoja.[emoji23] [emoji23] [emoji23]wasee mnafaa kuona hii...nmecheka yangu yote zip line ya mbao jooh..hii kwani iliundwa na walaji wa albino...hio si zip line...yani umetafuta hizo siku zote in the end umeget hii........enyewe tz ldc
deni ya japan ni 12,347,500,000,000 mara 2.5 ya gdp yao..deni la kenya ni 0.54 ya gdp yao....iyo imeshinda kuelewaUnasemaje wewe? Ngoja nikubali tu kwa shingo upande kwamba deni lenu ni 54% sasa tuanze gdp ya japani ni ngapi
Japani GDP: 4,939,000,000,000 USD
Kenya GDP: 70,530,000,000 USD
Sasa wewe unaongea na japan. Ni mwehu tu anaweza komaa na swala hilo.
hkwani iyo zip line ni made in tz...hiyo ni aibu umejianika msee..ziplines kuna more than 10 hukuhuna hoja.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekueleza Japan wanatengeneza magari, vifaa vya electronics, Meli, Silaha. Je, nyie kenya mtafanya nini kulipa deni hilo?deni ya japan ni 12,347,500,000,000 mara 2.5 ya gdp yao..deni la kenya ni 0.54 ya gdp yao....iyo imeshinda kuelewa
unamuumiza sana collo😀😀😀😀😀😀😀[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
kolo una swali lingine kuhusu huu ujinga wako wa zip line in tz?.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
japan inauwezo wakulipa hio deni kwasababu wana source nyingi sana za kulipa so usijifananishe kabisa😀😀😀hiyo si shida ..shida ni gdp ya ya matrillioni wana deni 250% ya hiyo..period..deni yao ni 2.5 times ya gdp yao...so wakilipa deni wakitumia gdp(vile mnafikiria) gdp ya ni negative
hahahahaha... nimeona povu alilotoa sio la kawaida....ana hasira sana maana alidhani huo upuuzi wake unaoitwa "zipu laini" unapatikana kenya tu.unamuumiza sana collo😀😀😀😀😀😀😀
Unasemaje wewe? Ngoja nikubali tu kwa shingo upande kwamba deni lenu ni 54% sasa tuanze gdp ya japani ni ngapi
Japani GDP: 4,939,000,000,000 USD
Kenya GDP: 70,530,000,000 USD
Sasa wewe unaongea na japan. Ni mwehu tu anaweza komaa na swala hilo.
upuuzi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]this is a zip line...usitulete picha zinakaa 17 centuryView attachment 643786 View attachment 643787 View attachment 643788 View attachment 643789
sasa kwanini wana deni..acha upuzi..deni ni deni..250% ya gdp yao..ata sisi tunalima chai,flowers nkNimekueleza Japan wanatengeneza magari, vifaa vya electronics, Meli, Silaha. Je, nyie kenya mtafanya nini kulipa deni hilo?
Sana sana mtaanza kuuza ardhi yenu au kuuzwa nyie muwe kama watumwa.
si 70b inakuumiza iyo ni 2016..2017 ni 78b
Nimekupa ya october 2017😀😀😀si 70b inakuumiza iyo ni 2016..2017 ni 78b
Hahaha hata wao wanalima chai na flowers. Je, Hizo chai na flowers zinaingiza kiasi gani kwa mwaka? Na hayo mashamba yanamilkiwa na nani? Ukute 90% ya mashamba hayo yanawanufaisha wazungu nyie mnabaki na njaa huku deni almost 60% likiwakamua.sasa kwanini wana deni..acha upuzi..deni ni deni..250% ya gdp yao..ata sisi tunalima chai,flowers nk
utakufa stress bure na staff umeedit
hahahahahhah...chai ya wakulima wadogo hupea kenya usd 2b kila mwaka....KRA inacollect 1.5trillion ama 15b usd per year...kenya yaweza lipa deni yake sababu ni ndogo si ma trilluioniHahaha hata wao wanalima chai na flowers. Je, Hizo chai na flowers zinaingiza kiasi gani kwa mwaka? Na hayo mashamba yanamilkiwa na nani? Ukute 90% ya mashamba hayo yanawanufaisha wazungu nyie mnabaki na njaa huku deni almost 60% likiwakamua.
Niwekee mikakati yenu ipi ya kulilipa deni kubwa zaidi ya uwezo wenu.
Looks like Nakuru.