Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Upuuzi mtupu... Attention seeker tu huyo..

Hapo sio Gongo la mboto kama wanavyosema. Hapo ni KM 7 around Vingunguti area. Ni eneo la kimkakati kwa operations za Reli zetu. Ni mahali ambao rail truck za MGR na SGR zipo jirani sana at parallel.

Kwa sasa Port link ya SGR ndio ipo kwenye ujenzi haijakamilika. Hivyo coaches za SGR zikishuka port huwa zinatembea juu ya MGR kwa kutumia dollies hadi hapo then zinakuwa lifted na kuziweka kwenye SGR line. Ndio walichokuwa wana fanya hapo na kuzi mount ili zitembee sasa either kwenda Pungu marshaling au kwenda KM 0 Tanzanite station.
 
Basi weka majina!!!
Watu Kenya wana pesa!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…